rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,439
kuna taarifa tumepata kuwa mkuu wetu wa nchi atasafiri mwezi ujao kuelekea kwa mkuu Obama kuhudhuria siku ya Arbor day!
Arbor Day 2012 - Apr 27, 2012
Arbor Day 2012 - Apr 27, 2012
kuna taarifa tumepata kuwa mkuu wetu wa nchi atasafiri mwezi ujao kuelekea kwa mkuu Obama kuhudhuria siku ya Arbor day!
Arbor Day 2012 - Apr 27, 2012
atakuwa na issue zake huko nje
ndiyo maana home hapakaliki.
WTF is arbor day???
:behindsofa:Labda anaenda kuomba nyongeza ya pesa aliyowaahidi madaktari... pamoja na kunyoosha viungo*
Mwenye kujua jamani atujuze wengine kwn tupo gizani!
Tuna hasara sana na chama cha mauaji iliyoko madarakani.
Nchi iko kwenye AUTOPILOT