Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!
Akirudi tu rais huyu mtalii anakuja kuwa tangazia ndoa ya jinsia moja na huyu bwana siatangaze tu kuwa waziri mambo ya nje ni yeye?
Inawezekana Rais wetu ni mgonjwa huwa anakwenda kuonana na daktari wake mdhungu, vinginevyo haingii akilini kila siku awe yuko nje ya nchi kuhudhuria mikutano, kama wote wangekuwa wanasafiri namna hii basi kila siku tungekuwa tunapokea wageni
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!
Hapa wakuu nimeamini sasa tuna viwavi jeshi sio watawala,nchi inafilisiwa ni lini miradi ya maendeleo itafikiliwa????Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na baada ya hapo ataunga moja kwa moja kwa mkuu mwingine Ian khama wa Botswana,Rais khama amealika maraisi kadhaa kuhudhuria mkutano wa global worming,lakini kwa nchi zingine imeonekana mawaziri wenya wizara zinazohusika na mambo hayo wahudhurie kuwakilisha marais wao,hapa kwetu mkuu mwenyewe ataongoza timu ya watu 47 kuelekea kwenye mkutano huo wa aina yake!
source ni www.kisimasiokilakitusource.comsource please!
Inaelekea Ikulu hakuna kazi na hivyo anakuwa bored sana pale magogoni!
Mkuu unalipia wewe na mimi kama hujui.Hivi hizi safari zinalipiwa na hao wanaoalika au ni Kodi zetu ndo zinatumika?