sIKUBALIANI NA WEWE NIGHARAMA KULUDIA UCHAGUZI MUNGU AMLINDE JK!
Ndani ya mwaka mmoja tutakuwa na by-election ya Rais....trust me....
Ndani ya mwaka mmoja tutakuwa na by-election ya Rais....trust me....
sIKUBALIANI NA WEWE NIGHARAMA KULUDIA UCHAGUZI MUNGU AMLINDE JK!
mkuu tumwombeee tuu jk any ndo kiongozi wetu! Tumsaidie kuongoza vyema nchi sasa!nasikia alianguka tena zanzibar majuzi kwenye kuapishwa shein....maximum kuanguka ni mara 100 na yeye tayari ameanguka mara 96 nadhani...bado 4 tunarudia uchaguzi
sijainyaka ni kweli ?Nasikia alianguka tena Zanzibar majuzi kwenye kuapishwa Shein....maximum kuanguka ni mara 100 na yeye tayari ameanguka mara 96 nadhani...bado 4 tunarudia uchaguzi
si afadhali zitumike kurudia uchaguzi, kwani sasa hivi zinatumika kufanyia nini?AMeeeeeeeeeeeeen! mana we unataka kodi zet zitumike tena kununulia mabango!! kamshahara kenyewe haka
Ni ajabu, aibu, na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi (UDSM) (ambayo si amini kama aliwahi kupata) Kukubali kupewa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua ameshindwa katika uchaguzi. Leo hii Tume yake ya Uchaguzi imemtangaza kuwa raisi lakini akiwa HANA WATU WA KUWAONGOZA. Katika mjii huu wa Arusha kumepoa na watu wanaendelea na kazi zao kama vile kuna msiba uliotokea. Sijui kesho Tanzania itaamkaje na msiba huu laiti kama tungeanza kulia. Ushindi huu wa CCM ikulu ndio mwanzo wa misiba mingi kwa miaka mitano ijayo-Bora Arusha wameanza kujizoesha. LAKINI KAMA HATUTAKI MISIBA NA TAABU TUFANYE JAMBO WATANZANIA HATA KAMA NI GUMU
Ni ajabu ( SLAA AMEBWAGWA ), aibu (KWA SLAA) , na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi ( WEWE UNA YA NINI?) (UDSM) ambayo si amini kama aliwahi kupata ( NENDA UDSM KAULIZE) Kukubali kupewa (AMESHINDA KWA KURA ) urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua ameshindwa (LETA USHAHIDI) katika uchaguzi (ULIKUWA HURU NA WA HAKI ) . Leo hii Tume yake ya Uchaguzi imemtangaza kuwa raisi (ALIYESHINDA ) lakini akiwa HANA WATU WA KUWAONGOZA (WATANZANIA TUPO 40M SIO WATU ?) . Katika mjii huu wa Arusha kumepoa (WALIKUWA MAJUMBANI ) na watu wanaendelea na kazi zao (VIZURI SANA ) kama vile kuna msiba (MAZISHI YA CHADEMA LINI ?) uliotokea. Sijui kesho (NI JUMAMOSI MKUU WA NCHI ANAAPISHWA) Tanzania itaamkaje (LALA KWANZA ) na msiba huu (WA CHADEMA KUSHINDWA URAIS ) laiti kama tungeanza kulia (MBONA SIONI MACHOZI?) . Ushindi huu wa CCM ikulu (WA HURU NA HAKI ) ndio mwanzo wa misiba mingi (KWAKO TU SIO KWANGU ) kwa miaka mitano (YA MAISHA BORA ) ijayo-Bora Arusha wameanza kujizoesha. LAKINI KAMA HATUTAKI MISIBA NA TAABU TUFANYE JAMBO WATANZANIA HATA KAMA NI GUMU (ANZIA NYUMBANI KWAKO)