Umakini wasitwishwe viongozi wa kisiasa tu. Umakini unatakiwa uwe jukumu letu sote. Jamii zilizo makini zinachagua viongozi walio makini pia (at least mara nyingi huwa hivyo).
Wananchi ni LAZIMA wawe na viongozi makini ili waendelee,Kiongozi wa China amesema kuwa Africa ikipata maendeleo ya kiuchumi basi kila kitu kama vile elimu,afya nk vita jiseti.
Lakini reality on the ground ambapo ni viongozi vs wananchi towards accomplishing hayo maendeleo ya kiuchumi ndo kitendawili.....Ni wazi kuna anayemtumia mwenzake vibaya kati ya wananchi na viongozi,certainly kwa upande wangu naona kuwa ni viongozi wanaowatumia wananchi vibaya kwasababu hawataki mambo ya elimu,afya nk yajiseti through maendeleo ya kweli ya kiuchumi,kwasababu yaki jiseti wanaweza wasiendelee kuwa madarakani kwani tabia ya mwanadamu ni kutaka more and more.
Na kwahivyo basi viongozi hao wanakuwa mafisadi na kukatisha hatua muhimu tunazotakiwa tuzichukue ili kuyafikia malengo ya maendeleo ya kiuchumi.
Haya mabadiliko ya social political and economic enviroments ni kama style mpya za kucheza,kama huwezi kucheza utabakia msindikizaji tu,kuna style nyingine unahitaji miguu yote iwe kwenye movement simultaneously,na mikono na mwili wako vyote vikiwa kwenye unique movements all at the same time,sasa kama huna rythm,unabakia kuwa kituko tu.
Same with us,ili tupate maendeleo ni lazima yaje hand to hand with education kwasababu la sivyo kutatokea conflict,kwenye dunia ya uchumi wa soko huria,wachina,wakenya nk hawatasubiri watanzania wasome kwanza kabla hawajaingia na kutake opportunity ya maendeleo hayo ya kuchumi,na kwahiyo bottom line in whatever situation tunahitaji viongozi makini kuguide interests za wananchi ili maendeleo hayo ya kiuchumi yaende bega kwa bega na maendeleo ya afya,elimu nk.
Hao wananchi wengi wao hawawezi kufuatilia conversation kama hizi na hawana uelewa wa issues za macro economics ama hata international business,viongozi wana missuse level ya uelewa wa wananchi wao na kama nilivyowahi kusema huko nyuma,mbali na usomi,pia inahitaji huruma na kujitolea ili kuwa kiongozi wa KWELI wa Africa.