Hii ni sawa na 0.37%There are currently 579 users browsing this thread. (200 members and 379 guests)
Hapa inaonyesha ni jinsi gani tunapenda kumsikiliza raisi wetu!!
hujui maana ya live coverage subiri utatoa coments zako baadae kuna thread nyingi za kufanya hivyo..Tatizo CDM wamewapotosha sana wananchi...ameamua mwenyewe atoe ufafanuzi!
maneno yote aliyokua akiyasema bibi kiroboto bungeni leo ndo anayarudia yaelekea waliongea sana na bibi kiroboto kablaa hajaingia bungeni iweje wote wanaongea jambo moja tena kwa lugha ilele ( staili na maneno pamoja na mpangilio ni ulele wa maneno) hapa najiuliza nani anamnukuu mwenzake?
Tatizo CDM wamewapotosha sana wananchi...ameamua mwenyewe atoe ufafanuzi!
Sawa nini umuhimu wake toka Nyerere hadi JK kuzungumza na wazee wa Dar? mbona hamnipi elimu jamani?.. kwa nini wakutane na wazee wa Dar na kuwa hotuba ya Kitaifa hali wakienda Dodoma, Moshi, Mwanza hawafanyi hivyo..think about it.. kuna umuhimu gani wa rais kuzungumza na wazee wa Dar!hao ni wazee wa mji anaoishi-ingekuwa anaishi dodoma angezungumza na wazee wa dodoma
Nitafurahi amalizapo kuongea aruhusu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wanahabari
hujui maana ya live coverage subiri utatoa coments zako baadae kuna thread nyingi za kufanya hivyo..