Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

Rais Jakaya Mrisho (Dr) anajaribu kujibu hotuba ya Mh Tundu Antipas Lissu kwa kisingizio cha kuzungumza na wazee wa Dsm, Tangu mwanzo anajibu hoja kwa "kucritisize" bila kutoa point za msingi anayarudia tulioyasikia kwa Lissu akitutaka tuamini yeye ndo mkweli zaidi. GT uhalisia uko wapi? Mi naona kama Lissu amewashtua sana ccm.
 
Wadau mlio karibu msikae name mbali coz naona anapata kigugumizi asije akawa anataka kudondoka na tatizo lake la kukosa control.
 
anasema uchaguzi wa 2015 katiba mpya itumike ili pawe panatosha maana wao wanasema patakuwa hapatoshi.
 
anadai eti kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru wa jamhur ya muungano wa tz kuwe na katba mpya
JAMANI KAMA RAIS HAJUI TUNASHEHEREKEA MIAKA 50 YA TANGANYIKA,WANANCHI WAKE WA KULE IGUGUNO ITAKUWAJE-MBONA ANAPOTOSHA UMA KIASI HIKI?
 
Sasa ndugu yangu hivi unadhani wazee wa Sumbawanga na Kigoma watafika vipi kwa short notice, hao wa Kimanzi Chana wako karibu wataenda kuwaeleza wenzao...
Wakienda Sumbawanga mbona hawafanyi hivyo, ama hakuna utaratibu wa wao kukutana na wazee wa mikoa mingine isipokuwa Dar..naomba mwandishi wa habari yeyote aulize swali hili mimi nataka sana kujua maana hao wazee wenyewe sijui wana umuhimu gani.
 
Hivi pindi chana ni Dr? Kama Dr je ni Dr wa nini. Coz nimesikia Mkwe.re anamwita Dr.
 
Rais Jakaya Mrisho (Dr) anajaribu kujibu hotuba ya Mh Tundu Antipas Lissu kwa kisingizio cha kuzungumza na wazee wa Dsm, Tangu mwanzo anajibu hoja kwa "kucritisize" bila kutoa point za msingi anayarudia tulioyasikia kwa Lissu akitutaka tuamini yeye ndo mkweli zaidi. GT uhalisia uko wapi? Mi naona kama Lissu amewashtua sana ccm.
hajajibu hoja, anaendeleza mipasho ya wabunge wake
 
Back
Top Bottom