Tar 1 dec 2011 mswada utaanza kutumika
duh ,anasema mawaziri wasipokuwa wabunge kuna wtu tawatagombea ubunge
Wakienda Sumbawanga mbona hawafanyi hivyo, ama hakuna utaratibu wa wao kukutana na wazee wa mikoa mingine isipokuwa Dar..naomba mwandishi wa habari yeyote aulize swali hili mimi nataka sana kujua maana hao wazee wenyewe sijui wana umuhimu gani.Sasa ndugu yangu hivi unadhani wazee wa Sumbawanga na Kigoma watafika vipi kwa short notice, hao wa Kimanzi Chana wako karibu wataenda kuwaeleza wenzao...
anasema serikali haikuondoa muswada kutoka bungeni. ya kweli haya wajameni?
Tujiandae kutoa maoni kwenye tume ya katiba mara itakapoanza kufanya kazi yakeLengo letu kina nani? KIBARAKA MKUBWA WEWE!
VIVA CHADEMA aluta continua
kwa kweli kingunge akapumzike nyumbani sasa
ndio akili za mkuu wako zinavyomtuma1+1 = 5
hajajibu hoja, anaendeleza mipasho ya wabunge wakeRais Jakaya Mrisho (Dr) anajaribu kujibu hotuba ya Mh Tundu Antipas Lissu kwa kisingizio cha kuzungumza na wazee wa Dsm, Tangu mwanzo anajibu hoja kwa "kucritisize" bila kutoa point za msingi anayarudia tulioyasikia kwa Lissu akitutaka tuamini yeye ndo mkweli zaidi. GT uhalisia uko wapi? Mi naona kama Lissu amewashtua sana ccm.
Walibana mwisho wameachia.Hiongera JK, Uchaguzi Mkuu 2015 tukiwa na KATIBA MPYA!!