nasikia kichefuchefuuu
Amenifurahisha jambo moja: tarehe 31 October 2010 kamchague unayemtaka!
duly notedWakati kipindi kinafungwa ITV mziki uliokua unapigwa ni wa malaw unaosifia ccm, lakini wakati lipumba alipokua itv juma nature nawenzie mziki wao ulihusu uhamasishaji wakupiga kura wakati siku ya dr slaa wimbo wa mrisho mpoto kuhusu mambo yanayoikabili nchi ndio ulikua wimbo unaoimbwa....Tafakari.
Acha masihala wewe hujasikia ile mbinu ya kuchakachakua matokeo? Kwa mara ya kwanza amekiri kuwa kuchakachua matokeo inawezekana. Ni hilo tu.Hana jipya!
It is a grave mistake.Yaani closing statement hata haombi kura!!!!!!
pole!mimba changa ndio ilivyo!