Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpita Njia, Oct 29, 2010.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Waulizwa maswali wamepangwa, wengine hawaruhusiwi kuuliza. Mambo yameanza. Kabla hajaanza kujibu, kwanza anacheka.

  Suzan Mungi-Style ya kampeni, unawanadi wabunge baadhi ya wananchi wanalalamika unawanado baadhi ya wabunge wenye kesi mahankamani na kesi nzito tu. Wewe unalionaje hili?

  JK-Hao ndio nilio nao na ni kweli wengine wana kesi, Hata wakati wa uteuzi kulikuwa na mjadala, lakini tukasema tuhuma si hatia
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wakionekana wana hatia mahakamani wataondolewa
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmmh,kwanini wana pangwa watu wa kuuliza maswali jama?
   
 4. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mpaka anatia huruma jinsi anavyojikanyaga
   
 5. C

  Chumvi1 Senior Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  haya sasa mafisadi wameomba kipindi ITV live ameanza kujibu maswali tayari
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Masako wa ITV-Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanategemea kilimo, miaka mitano iliyopita, bado wana matatizo ya masoko na wanauza kwa bei anayotaka mnunuzi. Umefanya nini kuwasaidia, na miaka mingine mitano umepanga kuwafanyia nini?

  JK-Tumepanua lilomo cha umwagiliaji, katika ASDP asilimia 75 ya pesa ni za umwagiliaji kuongeza matumizi ya mbegu bora, mbolea, madawa, maofisa kilimo wawafundishe wakulima kanuni za kilimo bora, kuboresha masoko na bei, kuboresha barabara, kuanza safari polepole lkn kwa uhakika kutoka kutegemea jembe la mkono tutumie matrekta.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sijapenda hata kidogo anavyotetea sera yake ya kuwanadi watuhimiwa wanaogombea ubunge wakati wana kesi mahakamani boring :tape:
   
 8. C

  Chumvi1 Senior Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  masako kauliza swali kuhusu kilimo na suzana mungi kauliza swali kuhusu mafisadi aliowannadi kikwete.
   
 9. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wera weraaaa
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nadhani wanaogopa mabomu
   
 11. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa amini na utulivu
   
 12. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mi kanikera jinsi alivyojibu ishu ya mramba? Very low kwa kweli!
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Hana mvuto? hivi anaongelea hali ya nchi au anazungumzia uchaguzi??? mambo ya mvua na huu.... anaouzungumzia unakujaje? mambo ya miradi yanakuje tena hapa? i dont understand this broda
   
 14. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwa amani na utulivu chagua CCM
   
 15. C

  Chumvi1 Senior Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kweli huyu jamaa akipita hatuna president hapa
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  anavyo wakanyaga?
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  duh kazi ipo leo
   
 18. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu rais msanii sana. Anasema hivi akijua kuwa mahakama ziko chini yake na ana uwezo wa kudikteti mahakimu waseme kuwa hawana hatia
   
 19. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Huyu mzee Jk amesema mafisadi ni watuhumiwa na hivyo wanaweza kushinda kesi ndo maana anawapigia kampeni
   
 20. h

  hagonga Senior Member

  #20
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona wameanza na maswali
   
Loading...