KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 88
Nilipoona mazungumzo ya rais kikwete alinikumbusha kitu kilichozungumzwa wakati wa uchaguzi kuwa tunaelekea watanzania kumpata ruksa mwingine.Mimi niliona theory nyingi sana na hizo theory akionekana kuziamini sana.
Niligundua kwamba alifaa sana kuwa mwalimu katika chuo cha diplomasia pale kurasini. Nafikiri labda mambo yote yaliyoongelewa anayajua sana na yote yana baraka zake.
Watu wakikwambia kuwa unafanya vizuri wakati wewe unaona mambo siyo mazuri/mategemeo yako sivyo hujui utakwama. Hutakiwi kuambiwa na watu jiangalie mwenyewe.