Kenge ndo wewe na hayo MAUKAWA yako nimeeleza uhalisia. Tanzania tunazalisha chakula cha kutosha mpaka tunasafirisha nje ya nchi. Utatulinganishaje na hawa wakenya ambao hawana hata ardhi ya kutosha?
Hizi Takwimu za FAO zina mashaka. Kenya wanaomba chakula kwetu na sisi tunazalisha chakula kingi kuliko mahitaji ya nchi.
idoyo
Hizi Takwimu za FAO zina mashaka. Kenya wanaomba chakula kwetu na sisi tunazalisha chakula kingi kuliko mahitaji ya nchi.
ni mara ngapi tumekuwa tunasikia watu wanakabiliwa na njaa? waziri mkuu akiagiza bungeni watu hao wapatiwe msaada?
mwenyekiti wako amekiri kuwa sera za chama chenu zime-fail kukuza kilimo.
Kikwete hakushindwa kusimamia kilimo tu bali ameshindwa kutawala nchi katika kila nyanja na akahitimisha kwa kushindwa kusimamia nchi kupata katiba wananchi waipendayo!!
A president who failed because of sharing a bed with drug traffickers,Poachers, bandits, tax evaders and all manner of crooks!!
Wewe unawaza pombe tu mkuu.glass aliyoshika jk ni maarufu kwa kunywea wine(mvinyo)...
Kipi alichoweza?
Dhamira alikuwa nayo. Ila kwa mfumo corrupt kama huu wa kwetu inakuwa ni shida kutimiza mahitaji ya wananchi. Rushwa inakwamisha maendeleo ya nchi nyingimza Afrika. Hiyo inatokea Angola, Malawi, Zambia, Uganda, South Africa nk
Lizaboni hapa ndipo utakapokubaliana na mie na wadau wengine kwamba inabidi tubadilishe mfumo mzima kwenye uchaguzi mkuu ujao.. Kama unakiri raisi ambae tulimchagua awe juu ya kila kitu lakini mwisho wake ameangushwa na wa chini yake na yeye kama raisi kushindwa kuwachukulia hatua hao waliomuangusha, basi hawa ambao wako kwenye mfumo wana nguvu nyingi kuliko mamlaka ya uraisi..! Tuwatoe hawa wote na mfumo huu uliojikita kwa zaidi ya miaka 50 na kuingiza mfumo mwingine ambao itakuwa rahisi kuuondoa ndani miaka mitano kama ukishindwa kutatua shida za watanzania..!Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa ameliangamiza taifa. Ila nadhani hajafikia malengo yake ipasavyo. Alifanya jitihada nyingi ila ilikuwa inaonekana ni kama yupo peke yake. Matrekta mengi yameletwa na watu wameshindwa kuyasimamia