Kikwete: Niliumia sana kundi la TMK kuvunjika, nilimuita Juma Nature Ikulu akakataa kusuluhishwa

JK kitabu chake kinatoka lini?


Mapitio ya awali yameshafanyika

Kaeleza namna alivyotumwa na Mzee Butiama kwenda kumshawish Salim wakakutana Nairobi lakin Salim akakataa

Mwl akawasiliana na Mzee Mwinyi wakamwambia akachukue form

Kitabu kitabamba sana kwa kuwa Jk kapita pita sana kwenye Milima na ya kisiasa kuliko Rais yeyote mwingine wa Tz

Mchakato wa 1995, wa 2005, 2010 na wa 2015 utakuwa ni zaid ya Habari kama hatoficha ficha mambo kidiplomasia
 
Kweli mkuu,inawezekana hata sasa hivi Magu anasikitika balaa Harmonizer alivyoondoka kule WCB mpk anashindwa kula vzr,ila soon atamuita Diamond ili amsuluhishe na harmo.
Issue ni kwamba wasanii bado wanenda ikulu iwe kusuluhishwa, iwe kwenda kupewa hela wakaimbe somewhere, vyovyote vile but bado wanaenda
 
Sio siri jamani jk ukimsikiliza kwa makini huyu mzee ana maono mazuli anaona mbali mnoo

Maneno ya huyu mzeee kwa watu wenye akili kuna vitu tumejufunza kuhusu maisha ya kwamba "majuto ni mjukuuu" huyu juma nature kama angetulia Leo hiii angekuwa mbalii mnooo
Anaona mbali mno mbona hakuona hata karibu katika kutusukia mpango wa kupata mrithi wake? Bora hata angeruhusu Dovutwa awe yeye haya yanayotupata yasingetupata
 
Sir Juma Nature ulipotea haraka sana
Si haraka mama, unakumbuka Nature enzi za Sonia 2002 mpaka nature wa kila siku za week 2010 ni miaka zaidi ya 8 mkuu,

Ukiangalia diamond mwaka 2012 hadi 2019 sasa ni Miaka 7 ya Umaarufu,

Ni sawa wanaosema Ronaldinho Gaucho kapotea haraka, wakumbuke Dibho kawika tokea 1997 mpaka 2009 ambapo ni miaka 12 ,

Messi kawika 2006 hadi 2017

Lakin hawa was juzi kina Diamond na Messi ni kwakuwa Media imeshakua na inatangaza sana, na dunia imebadilika

Kina Nature enzi kwanza hata Redio za Kuhesabika, zilitumika Kanda hakuna CD, hakukuwa na Instagram wala Facebook au YouTube kuangalia Viewers, watu waliwapenda kwa hisia tu na Dhahania kama apendwavyo Yesu au Mohamaed ambaye hatumjui
 
Wala hata sihitaji kusoma sana kuelewa kwamba alichokifanya kilikua sio cha hadhi yake kama Rais wa nchi.
Ila hadhi ya rahisi ni kununua madafu na mapapai na kuyagawa mbn mnafanya cheo cha urais kama ufalme..Kila Rais anafanya jambo kwa utashi wale ili mradi havunji katiba isitoshe utashi upo kwa kila binadamu kwa huyu Pombe anayofanya yote yamebarikia na nani?
 
Ila hadhi ya rahisi ni kununua madafu na mapapai na kuyagawa mbn mnafanya cheo cha urais kama ufalme..Kila Rais anafanya jambo kwa utashi wale ili mradi havunji katiba isitoshe utashi upo kwa kila binadamu kwa huyu Pombe anayofanya yote yamebarikia na nani?

Kwani wapi nimekwambia anayoyafanya Magu yamebarikiwa?

Hivi unajua kusoma kwanza?
 
Back
Top Bottom