The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
hana vision, hana plan, hana lolote. yaani yupo yupo tu ili mradi yupoyupo. he is a joke. simpendi kama nini! 6 years in power, nothing tangible delivered. kazi kuchekacheka tu. what a president is this? ivi Mungu ana mpango gani na sisi Watanzania?
Alichaguliwa 2005 tu. 2010 hatukumchagua. Kachaguliwa na NEC.Alichaguliwa kwa sababu ya sura nzuri...
Sijui tulimkosea nini M/mungu! kuliko yeye bora lingekaa Jiwe...ikulu
AMA vinginevyo tungelipewa Chimpanzee naambiwa wale wana utashi!
acheni kumsingizia Mungu, wakati mlikwenda kupiga kura ninyi wenyewe na Mungu akawapa mlichotaka.
Raisi asiye na uwezo wa kufikiri hata kutenda vilivyo wazi! Zaidi ya ufisadi Hana ajuacho.....Hii ni laaana kuwa na kiongozi wa namna hii
Naomba pindi Tz itakapoungana na rafiki zake China & Russia kulaaani mauaji ya kikatili ya Osama bin Laden na majeshi ya America. Asante