Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
kutafutana...nilishawahi kusikia bibi bibi gani sijui babu babu gani wa obama alikuwa ni mtz akahamia kenya ..lol!!
wanafanana kwel i si unona mashati ya kushona kwa fundi dula ...peni mfukoni etcKwa wanabayolojia ukiangalia sura za hao wanaojiita majina ya kikwete na mafuvu yao kuna dalili ya cell zenye asili moja ya kizazi cha karibuni. Huyo dogo licha ya kaupara kidogo lakini hutashtuka ukiambiwa ni dogo wa ******.
Kwa wanabayolojia ukiangalia sura za hao wanaojiita majina ya kikwete na mafuvu yao kuna dalili ya cell zenye asili moja ya kizazi cha karibuni. Huyo dogo licha ya kaupara kidogo lakini hutashtuka ukiambiwa ni dogo wa ******.
wanafanana kwel i si unona mashati ya kushona kwa fundi dula ...peni mfukoni etc
Kwa wanabayolojia ukiangalia sura za hao wanaojiita majina ya kikwete na mafuvu yao kuna dalili ya cell zenye asili moja ya kizazi cha karibuni. Huyo dogo licha ya kaupara kidogo lakini hutashtuka ukiambiwa ni dogo wa ******.
Huku Iringa pia kuna akina Mgaya na Tanga wapo. Sio lazima wawe ni ndugu ila ni ubini ndio uliofanana.
Inawezekana, koo nyingi sana zinaexist in more than one region. Kwani hata ukiangalia maana ya neno kikwete lina maudhui ya kihehe ikimaanisha kimepita. Lakini swala la akina Mgaya wakina mgaya asili yao ni iringa walienda Tanga kipindi cha manamba na wakazaliana huko. Ila kwa swala la Jk kuwa ni wa Iringa sina uhakika sana naamini wataalam wa history watatwambia.
ahaaaaaahaaaa ndimgaya sida beeeh
Wakazi wa asili kabisa wa Bagamoyo ni kina nani?. Wengi wa hao waliopo ni masalia ya watumwa wenye afya duni walio chukukuliwa bara na kutelekezwa hapo sokoni Bwagamoyo hivyo kuloweya hapo.
Kama jamaa wamethibitisha Kikwete ni jina la Iringa, then wako right kabisa.
Kitu ambacho tusikifanye ni kuzishauri jamii zetu zirejee kwenye asili zao. Wangoni warudi kwao Zulu land baada ya kuletwa nchini na Zongendamba. Wayao nao warudi kwao utawala wa Mwanamutapa. Waarabu wa Unguja na Pemba warudi kwao Oman baada ya kuletwa na Sultan Sayed Said.
Wachaga Wamasai na Wameru warudi kwao Kenya. Wahaya na Waangaza warudi kwao Baganda Kingdom. Kigoma warudi kwao Zaire. Wamakonde warudi kwao Msumbiji, Wanyasa warudi kwao Malawi, Makabila ya Mara warudi kwao Kenya.
Kwa kifupi wenyeji wa asili wa Tanganyika ni bantustans wa Tanganyika, Wasukuma na vizalia vyake, Wagogo, Wahehe, Waluguru na vizalia vyao. Makabila ya Singida na Arusha kama Warangi, Wasandawe, Wabarbaig, Wahadzabe etc, hapa sio kwao, hawa si wabantu ni semi nilotic ambao hutanga na nyika kutafuta survivor hivyo kujijuta Tanganyika.
Maadam tulipopata uhuru wetu ile Desemba 1961, Katiba iliwatambua wale wote walio kuwepo kwenye ardhi ya Tanganyika kuanzia ile saa 6 usiku wa uhuru ni Watanzania halali.