Kikwete na utitiri wa miradi Bagamoyo (Pwani)

Well,
Kama ni kweli, Basi kheri.... Lakiniiii kwanini kuanzisha projects nyingine kubwa kubwa wakati hata hizo zilizopo hazijakamilika au hata kuanzwa? Mfano, upanuzi na uboreshaji wa bandari ya Mtwara na Tanga? Manake nimesoma bajeti na inaonekana kweli pesa nyingi tu zimeelekezwa huko bwagamoyo.
 
Naona mmesahau msemo usemao mwamba ngomaaaaaaaaaa........................
 
Kati ya hiyo miradi uliyoitaja kuna ile ambayo ni yenye umiliki binafsi wa wawekezaji ambao huwezi kuwapangai wakawekeze wapi maana wao wana priorities zao na wamefanya market na resources survey kabla hawajaamua kuwekeza. Kuna miradi mingine ilikuwa conceived kabla hata Kikwete hajaingia madarakani na inatekelezwa sasa kutokana na mpango kazi uliokuwepo wakati huo. Halafu madai mengine hayaingii akilini kwa sababu Bagamoyo ilikuwa nyuma na inahitaji na yenyewe kuonja maendeleo ambayo wananchi wake watajivunia na kujikwamua kutoka katika umaskini uliokithiri. Halafu utasema nini kuhusu Mkapa pale chini ya utawala wake ilipobuniwa Mtwara Corridor?Kuhusu Bandari ya Mtwara, hiyo iko katika mpango wa Mtwara Corridor ambayo inahusisha pia utengenezaji wa barabara ya kuelekea Songea, Mbinga na Mbamba bay hadi Malawi na hivyo hivyo kuelekea Mozambique. Bandari ya Tanga iko kwenye plan ya kuunganisha reli hadi Musoma na baadae kuelekea Kampala. Mpango huu utahusisha ukarabati na upanuzi mkubwa wa bandari ya Tanga. Malalamiko mengine ni vizuri yakafanyiwa utafiti kabla hayajatolewa maana inaonekana yanatolewa bila tafakuri ya kina.
Wapashe mkuu, ila sijaelewa hiyo barabara ya Mbamba Bay kwenda Malawi itapita wapi ,au ziwa Nyasa ?
 
Hao wakwere hata wapewe nini hawataweza, hawawezi kujikwamua kabisa. Angepeleka studio ya kurekodi nyimbo asilia na ngoma!
Pia wangeuteua kuwa mkoa wakuproduce nguvu kazi ya Taifa coz wao na uzazi wa mpango hawapatani.
 
Hao wakwere hata wapewe nini hawataweza, hawawezi kujikwamua kabisa. Angepeleka studio ya kurekodi nyimbo asilia na ngoma!
Gagurito , wakwere watani zangu bwana, unachosema ni kweli, kwangoma hawa jamaa ni hakuna... inabidi mrandi wa studo kurekodi ngoma, uongezwe kwenye list...:dance:
 
Ifuatayo ni miradi inayoendelea au ipo njiani kuanzisha wilayani Bagamoyo au Mbegani au Mkoa wa Pwani kiujumla

(i) EPZ zone mbali ya kuwa kuna Kamal EPZ
(ii) Turkish University in Tanzania
(ii) World Tourism University for Africa
(iii)Muhimbili University campus Mloganzila
(iv) Uongozi Institute
(v)Bandari Mbegani
(vi) Uwanja wa ndege wa kimataifa
(vii) Kamal steel factory
(viii) Bagamoyo University
(ix) shule ya Wachina Bagamoyo

Naomba tuendeleze list hii na tuangalie kama viongozi waliopita wangefanya hivyo tungekuwa wapi leo
Wewe ulitaka ajenge wapi? Kwenu?
 
Hii baadae itakuwa extension ya Dar city, jinsi mji unavyokua kwa kutegemea investment ya private sector, Bagamoyo ina nafasi nzuri kuliko; mathalan, Kibaha au Mkuranga.
 
Wachagga bana kwa ubaguzi mlitaka akajenge Kilimanjaro kama alivyojenga Benjamin Mkapa Ukweni kwake kwa Wachagga, muacheni Mkweree nae ajenge kwao!
 
Wachagga bana kwa ubaguzi mlitaka akajenge Kilimanjaro kama alivyojenga Benjamin Mkapa Ukweni kwake kwa Wachagga, muacheni Mkweree nae ajenge kwao!
Yaani ulichoona hapa ni uchagga tuu na ubaguzi...sio point nyingine yeyote! BTW hao jamaa hata wasipopendelewa wanasonga mbele! wengi wetu humu ndani hatuwezi epuka uchagga iwe kusoma kwao, au kutibiwa na daktari Mchagga, au kuuziwa bidhaa na mfanyabiashara Mchagga, au kuhudumiwa kiroho na kasisi Mchagga au kufundishwa na mwalimu au Mkufunzi Mchagga! au kuendeshwa na Mchagga! au kunywa bia ya Mchagga au kulazwa katika gesti/hoteli ya Mchagga Huwezi epuka kaka! Jamaa lazma wamekula fweza yako!
 
Gagurito , wakwere watani zangu bwana, unachosema ni kweli, kwangoma hawa jamaa ni hakuna... inabidi mrandi wa studo kurekodi ngoma, uongezwe kwenye list...:dance:
Mnanshangaza! Mbona kuna chuo cha sanaa Bwagamoyo kabla JMK hajawa Rais.
 
Na chuo cha UDOM kiko kaole.

Na kiwanda cha vyandarua (Arusha) Kikubwa katika Afrika Mashariki kipo Mbegani.
 
Back
Top Bottom