Kikwete na Madereva wa bodaboda

Kikwete na Madereva wa bodaboda

Wamegoma Siku Nyingi Alikuwa Wapi? Madereva Wanaume Yaani Jk Kawa Mdogo Sana
 
Tatizo mazezeta ya UKAWA yameshindwa kushikilia ukweli huu watu wakaelewa; ingefaa hata iwe ndio kauli mbiu: WANATUONA KUKU WA KUDANGANYWA CHINJACHINJA MISISIEM. HII WASINGEIIGA KIRAHISI KAMA mabadiliko AU m4c

Umeandika nini hapa salim mbona kama unajichanganya?
 
Kikao kinaendele Blue Pearl Ubungo Plaza kati ya Mheshimiwa Rais Kikwete na madereva wa bodaboda na bajaji. Wanajadili namna ya kuwasaidia. Swali hapa ni kwa nini hakuwasaidia muda wote hadi iwe sasa? Na je kwa muda uliobaki anadhani bado anaweza kuwasaidia?
Kwa nini hili jambo asiliache mikononi kwa serikali ijayo kwa kuwa tayari inaonesha limemshinda?
Na je haiwezi kuwa ni sehemu ya mkakati wa kampeni kwa chama chake?

Acha uwongo.ni madereva wa malori na mabasi wamemuita kumuaga
 
Umeandika nini hapa salim mbona kama unajichanganya?
Nasema jamaa wamekuwa mabubu hawaongelei jinsi jamaa wanavyotuona malofa kwa kutulisha porojo na sisi tunachekelea na kuchinjwa kama kuku bora waweke hata slogan ya kuwachinja wao
 
Hii inaitwa kufa kishujaa,ila ndio kusema waziri wa Ajira hana uwezo wa kutosha kuweza kutatatua matatizo ya madereva.
 
Mimi Sioni Kama Kuna Tatizo Hapo,kama Mnahisi Kuna Tatizo Then Mnataka Kusema Tusifanye Maendeleo Just Because Tupo Karibu Na Uchaguzi....!!
 
Tehteh wameambiwa kuna maji ya kunywa kidogo wameandaliwa! Hapo nina????????????????
 
kikao kinaendele blue pearl ubungo plaza kati ya mheshimiwa rais kikwete na madereva wa bodaboda na bajaji. Wanajadili namna ya kuwasaidia. Swali hapa ni kwa nini hakuwasaidia muda wote hadi iwe sasa? Na je kwa muda uliobaki anadhani bado anaweza kuwasaidia?
Kwa nini hili jambo asiliache mikononi kwa serikali ijayo kwa kuwa tayari inaonesha limemshinda?
Na je haiwezi kuwa ni sehemu ya mkakati wa kampeni kwa chama chake?
okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
mheshmiwa rais ameamua kuzungumza na madereva katka kile kinachoweza kutafsiriwa kama kujaribu kutafuta kura za madereva ili kukinusuru chama
 
Mimi imenishangaza kuwa sio waziri wala SUMATRA ambao walikuwa wanajali
kutatua huu mgomo
yaani Paul Makonda ndo yuko busy na huu mgogoro
SUMATRA kama haliwahusu

hii nchi ya ajabu sana
 
Kikao kinaendele Blue Pearl Ubungo Plaza kati ya Mheshimiwa Rais Kikwete na madereva wa bodaboda na bajaji. Wanajadili namna ya kuwasaidia. Swali hapa ni kwa nini hakuwasaidia muda wote hadi iwe sasa? Na je kwa muda uliobaki anadhani bado anaweza kuwasaidia?
Kwa nini hili jambo asiliache mikononi kwa serikali ijayo kwa kuwa tayari inaonesha limemshinda?
Na je haiwezi kuwa ni sehemu ya mkakati wa kampeni kwa chama chake?

Mkuu hivi kipindi cha uchaguzi/ Kampeni serikali inakuwa haifanyikazi? Rais ni vibaya kuongea na bodaboda kisa uchaguzi ilihali yeye si mgombea? Embu saa nyingine tuache ushabiki wakijinga banah…!! Kila watakachofanya wanatafuta kura mbona hawakufanya toka hapo…!! Mbona yule hatukumuona anapanda daladala kipindi cha nyuma ila majuzi kapanda… nayeye akisaka nn?
 
mheshmiwa rais ameamua kuzungumza na madereva katka kile kinachoweza kutafsiriwa kama kujaribu kutafuta kura za madereva ili kukinusuru chama
Huu ni mwendelezo wa ujanja ujanja na ubabaishaji wa serikali ya ccm,Mkataba kati ya mwajiri na mwajiriwa unaihusuje serikali?JK kesho ajipange pia kukutana na Mabar medi na mtondogoo CDs
 
mheshmiwa rais ameamua kuzungumza na madereva katka kile kinachoweza kutafsiriwa kama. kujaribu kutafuta kura za madereva ili kukinusuru chama
.Yaani ameona maji yako shingoni anajifanya kuwasikiliza leo ili wapate kura zao.
 
mheshmiwa rais ameamua kuzungumza na madereva katka kile kinachoweza kutafsiriwa kama kujaribu kutafuta kura za madereva ili kukinusuru chama
. Madereva msiwe wajinga ahadi za rais zikawahadaa, alijuwa wapi siku zote? Msihadaike mtakuja kujuta. Wanataka kura zenu tu hao, hawana lolote. Mchague Lowassa awe rais.
 
Back
Top Bottom