Kikwete na Madereva wa bodaboda

Kikwete na Madereva wa bodaboda

Jallen

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
517
Reaction score
196
Kikao kinaendele Blue Pearl Ubungo Plaza kati ya Mheshimiwa Rais Kikwete na madereva wa bodaboda na bajaji. Wanajadili namna ya kuwasaidia. Swali hapa ni kwa nini hakuwasaidia muda wote hadi iwe sasa? Na je kwa muda uliobaki anadhani bado anaweza kuwasaidia?
Kwa nini hili jambo asiliache mikononi kwa serikali ijayo kwa kuwa tayari inaonesha limemshinda?
Na je haiwezi kuwa ni sehemu ya mkakati wa kampeni kwa chama chake?
 
Aisee! Ila walishafanya maamuzi,
Too late to catch the train!
 
Anachekesha.kawakumbuka bodaboda leo.nakwambia mwaka huu watoto watapewa shikamoo.
Haya majamaa yameshawaona watanzania ni kuku wa kienyeji,ukitaka kitoweo unawarushia punje za mahindi tuu.watanzania tumeshachoshwa na ulaghai wa miaka nenda rudi wa ccm.Tunahitaji mabadiliko.ccm iondoke tuu.
 
Wale vijana wana akili sana si rahisi awapate
 
Hahahaha kwisha habari yao ccm. Ni ukombozi tu hapa
 
Wale mlojiapiza kutokuangalia tbc Leo angalieni muone vituko vinavyoendelea....
 
Hahaha kuna dereva yupo huko kaniambia anatamani kuzusha mikono kuashiria mabadiliko lowassa
 
Wale mlojiapiza kutokuangalia tbc Leo angalieni muone vituko vinavyoendelea....
Mkuu me huwa nikisha jiapiza huwa sirudigi nyuma tena ata watangaze nini hiyo kitu na channel teni ni marufuku nyumbani kwangu na star tv
 
Anachekesha.kawakumbuka bodaboda leo.nakwambia mwaka huu watoto watapewa shikamoo.
Haya majamaa yameshawaona watanzania ni kuku wa kienyeji,ukitaka kitoweo unawarushia punje za mahindi tuu.watanzania tumeshachoshwa na ulaghai wa miaka nenda rudi wa ccm.Tunahitaji mabadiliko.ccm iondoke tuu.
Tatizo mazezeta ya UKAWA yameshindwa kushikilia ukweli huu watu wakaelewa; ingefaa hata iwe ndio kauli mbiu: WANATUONA KUKU WA KUDANGANYWA CHINJACHINJA MISISIEM. HII WASINGEIIGA KIRAHISI KAMA mabadiliko AU m4c
 
Back
Top Bottom