Mwaipaja ima
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 404
- 76
Kikao kinaendele Blue Pearl Ubungo Plaza kati ya Mheshimiwa Rais Kikwete na madereva wa bodaboda na bajaji. Wanajadili namna ya kuwasaidia. Swali hapa ni kwa nini hakuwasaidia muda wote hadi iwe sasa? Na je kwa muda uliobaki anadhani bado anaweza kuwasaidia?
Kwa nini hili jambo asiliache mikononi kwa serikali ijayo kwa kuwa tayari inaonesha limemshinda?
Na je haiwezi kuwa ni sehemu ya mkakati wa kampeni kwa chama chake?
Nasikia et pia leo anaenda kuomgea jogging zote za dar. Kesho et atakuwa kwenye tamasha la kwaya taifa, Safali hii jk kazi unayo utafanya mipango kibao yote atafeli watu wanataka mabadiliko wamechoshwa na maigizo