Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Acheni kijifariji kwa upuuzi, hii picha ni wakati EL akiwa bado PM. Kwa akili ya kawaida tu protocol hairuhusu mtu baki akae between amiri jeshi mkuu na mkuu wa majeshi katika shughuli rasmi ya nchi inayohusisha vikosi vya jeshi. Watanzania tumepata katabia cha uzushi na kuact, kushabikia kwenye uzushi.
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
Duh..... na kweli, nami nimeitazama kwa makini hiyo picha, nimejitahidi kuitafuta miguu ya EL kwenye hiyo picha, lakini sijafanikiwa kuiona!Nilikaa jukwaa kuu leo sherehe inaanza hadi mwisho,hakuna eneo ambalo JK na EL waliweza kusimama karibu hivyo Zaidi ya salamu tu - tena JK alitaka kumpita EL bila kumpa Mkono isipokuwa alifanya kulazimishwa, anyway angalieni hiyo Picha yenu vizuri mbona EL hana miguu?
Duh..... na kweli, nami nimeitazama kwa makini hiyo picha, nimejitahidi kuitafuta miguu ya EL kwenye hiyo picha, lakini sijafanikiwa kuiona!
Inawezekana hiyo picha ya 'kuchonga' itakuwa 'imetengenezwa' na campaign team ya mzee wa mamvi, ili kuwapa 'matumbo ya kuharisha' wale wote waliotangaza nia ya kugombea upresidaa mwakani, kwa tiketi ya magamba.
Tanzania ni nchi ambayo hata ukichukua ZUZU,BOGA au JIWE Ukalipia BONGE LA KAMPENI UONGO,RUSHWA JUU LINAKUWA RAIS.NO NEW
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
Upo sahihi mkuu. Ila kwa kuwa 'jicho likipenda chongo huwa kengeza' mie niliona EL akiwa mstari wa pili tena hata profesa alipokuwa akiondoka alimuaga mzee Msekwa. Kupenda kubaya sana kwani 'uongo hugeuzwa kuwa ukweli' ndio hao wasemao uhuru wa Tanzania bara. Shame on them.Mbona inaonekana mstari wa Mbele mkuu wa majeshi kufuatiwa na Raisi, halafu Raisi wa Znz , Halafu Mke wa Raisi , nyuma Yao Ndio anaonekana Lowassa na wengineo
Watanzania wengi ni washabiki,leo hii lowasa kawa kipenzi chao,inamaana hata bado . Hajachaguliwa tayari watu wanaanza kujichekesha,hapo ndio wanapofurahia wanasiasa kwa maana mtu anaye mshabikia mwanasiasa hata kabla hajapitishwa na chama chake huwezi kufuatilia sera zake na ahadi zake na kuhoji inapobid kwa sababu tayari moyoni mwako umeshampitisha hata kabla hajakuomba kura,ni sumu kubwa sana kumpa uhakika wa kura yako mwanasiasa,lowasa wa richmond leo watu wanatumia muda wao kumpamba na wala akili zao haziulizi na wala kuhoji ilikuwaje richmond? Wengine watasema ile ilikuwa ni issue ya ccm yote!! Sasa yeye anataka kuwa dereva kwenye gari lilelile lililomwangusha?richmondi ilikuwa ni mpango wa ccm yote kwa hiyo itakapo bidi pesa itafutwe kwa style ile ya richmond na epa kwa ajiri ya chama sidhani kama kutakuwa na resistance kutoka kwa kiongozi yeyote kwani hapo ndio kunapatikana pesa za kofia,tshart,khanga n.k!!