Walitaka kujifurahisha Mkuu. Upuuzi huu umeanzia Michuzi Blog ndiko walikochakachua ndo ukaenea humuNimecheka kuna thread imeletwa kwaajili ya hiyo picha nikashangaa Lowassa anaweza vipi kukaa safu ya mbelee na kuwaaacha akina Pinda,Makinda na.......
Mkuu, usihangaike sana. Huyu Ocmpo four ni kuwadi wa Lowasaumetumwa na uzalendo au ni ufuasi wako kwa lowasa ?
Hhahahaha Mkuu salama lakini?......Naona saizi mumempa mafunzo huyu kibaraka wenu Nyangeta Marwa baada ya chambruma na Hot lady stori za Apson kuwaishia.....Ni haramu mkuu kwani hastahili. Yeye alilazimishwa ajiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi. Sasa atakaaje karibu na Rais wetu? Yeye ataishia kumchungulia tu kwa mbali
picha tu inawauma hivi mbona bado sana jamani badala ulete hoja kama Sukari kama Bomba la gesi Guzo za Umeme watanzania wanatakujua hatma wezi wa Escrow si picha za LowasaMkuu vipi hilo la kuchakachua picha
Hahahahahaaaaaaaa! Mkuu, hao akina Chabruma na Hot Lady waache wapumzike maana wamefanya kazi kubwa sana. Vipi lakini mzee wa mamvi kapona Kongosho? Au kajivuta tu ili aonekane kuwa yupo fit.Hhahahaha Mkuu salama lakini?......Naona saizi mumempa mafunzo huyu kibaraka wenu Nyangeta Marwa baada ya chambruma na Hot lady stori za Apson kuwaishia.....
Mkuu, kwa jinsi ilivyochukuliwa ile picha hakika ilikaa vibaya sanapicha tu inawauma hivi mbona bado sana jamani badala ulete hoja kama Sukari kama Bomba la gesi Guzo za Umeme watanzania wanatakujua hatma wezi wa Escrow si picha za Lowasa
Hahahahahaaaaaaaaaa! Labda awaongoze nyie vibaraka wakeAngalieni tai walizovaa, hiyo ilikuwa presidential code! Hahahahaha! Wengine walivaa blue tie! Kwi kwi kwi! Lowassa anakuwa rais asubuhi sana!
kama wewe ulivyo kuwadi wa membe siku naona umebaki mwenyewe wenzako wameingia mitiniMkuu, usihangaike sana. Huyu Ocmpo four ni kuwadi wa Lowasa
Ni uzalendo Mkuu.... Inauma sana walimu wenye kipato cha chini kuchangishwa fedha za maabara, inauma sana zahanati kote nchini kukosa madawa, inauma sana wakandarasi wako site na hawajalipwa, inauma sana watumishi kudai mishahara zaidi ya miezi miwili sasa, inauma sana wabunge wametoka bungeni hawakulipwa posho za wiki mbili, inauma sana wanafunzi zaidi ya 7800 wamekosa mikopo then Mheshimiwa Pinda kavuta zaidi ya Billion 5...........Mke wake billion 2.....Na yule mke wa mtumishi wa Ikulu pale naye kafuta kitu......Hizo fedha zingeweza kuwalipia wanafunzi 7342 kwa miaka mitatu mfululizoumetumwa na uzalendo au ni ufuasi wako kwa lowasa ?
Baada ya kuchakachua picha za mazoezi, sasa wamechakachua picha ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru, Duuuh. .....Urais huu utawaua
Saizi Lizaboni kahamia kwa Pinda........Kwa Membe wamebaki watu watatu tu, Rizone, Gambo na Kaseselakama wewe ulivyo kuwadi wa membe siku naona umebaki mwenyewe wenzako wameingia mitini
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
Baada ya kuchakachua picha za mazoezi, sasa wamechakachua picha ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru, Duuuh. .....Urais huu utawaua
Yuko salama kabisa......Pinda vipi alipata suti ya kumtosha kwa Sheria Ngowi?Hahahahahaaaaaaaa! Mkuu, hao akina Chabruma na Hot Lady waache wapumzike maana wamefanya kazi kubwa sana. Vipi lakini mzee wa mamvi kapona Kongosho? Au kajivuta tu ili aonekane kuwa yupo fit.
hivi ndugu yangu Lizaboni kazi za Serikali unafanya saa ngapi manake full time uko jfMkuu, kwa jinsi ilivyochukuliwa ile picha hakika ilikaa vibaya sana