Kikwete na Lowassa kunani tena?

Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.

Kama utakumbuka,mwaka jana katika sherehe hizi kama sikosei,JK hakumpa mkono Lowassa yaani alimruka wakati anasalimia wageni jukwaani na kuibua maneno mengi hivyo naona leo kaamua kuwajibu wote waliohoji kitendo kile.

Hata hivyo,Lowassa yuko mstari wa nyuma na Mwanyange ndio amesimama kwenye line moja na JK.

Hii kitu niliona tangu mchana kwenye tv na nikataka kuanzisha uzi kuhusu huo muonekano ila nilihofu uzi wangu ungeunganishwa na uzi uliokuwa unaelezea sherehe hizo.
 
Viongoz wa TZ bana wananichekesha sana,yaan wapo serious wameramba suti za maana,halafu wanakwenda kuomba omba nchi za watu,te he teheeeeeeeeeeee
 
Hata kwenye TV wameonekana hivohivo wapo jirani

hivi macho yako yanaona sawasawa? Angalia tena hiyo picha mbele ya Lowasa utaona kiti kilicho wazi ambacho ni cha CDF
 
Bila kujali picha yako ni ya leo ama inamaanisha nini kuna ukweli mmoja ambao wengi hamfahanu kwamba mchongo wa Escrow, Lowassa anafahamu nani walipata miamala ya pesa zetu. Walio chonga mchongo wa Escrow hawakuwa watu smart ndiyo sababu walisahau kumuhusisha Rugemarila toka mwanzoni. Lowassa ana data zote za walio kwapua na bahati mbaya ni watu wa mkuu!!
 
Hata kama wangekaa ama kukumbatiana kabisa huyo JK ndo anatuchagulia Rais? Badala ya kujadili mambo yenye tija kwa taifa tunajidili ooh wamekaaje, wamevaa vp, suit ilishonwa wapi, kama mademu wako salon wanadiscuss mabuzz. Watu hawana dawa mahospitalin huko tunadiscuss mambo ya Rais 2015? Hapa pamekuwa so kwa ma Great thinkers tena!
 

View attachment 209518Naona yupo kwenye coma hapo.
Team WAMA limewashuka.
 
Mbona inaonekana mstari wa Mbele mkuu wa majeshi kufuatiwa na Raisi, halafu Raisi wa Znz , Halafu Mke wa Raisi , nyuma Yao Ndio anaonekana Lowassa na wengineo
My eyes see the same. Yuko msitari wa nyuma
 
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
Kwa wale mliosoma physics ya form I, topic ya light kwenye reflection, refraction na parallax, hiyo picha ni parallax tuu, Shein, JK na Davis ndio wako mstari mmoja, viti vya mbele, EL yuko kwa nyuma, ila due to parallax, anaonekana kama yuko nao mstari mmoja!.

Pasco
 
Hata hivyo,Lowassa yuko mstari wa nyuma na Mwanyange ndio amesimama kwenye line moja na JK.
Uko right, na hiki ndicho nilichokisema hapa.
 
Acheni kijifariji kwa upuuzi, hii picha ni wakati EL akiwa bado PM. Kwa akili ya kawaida tu protocol hairuhusu mtu baki akae between amiri jeshi mkuu na mkuu wa majeshi katika shughuli rasmi ya nchi inayohusisha vikosi vya jeshi. Watanzania tumepata katabia cha uzushi na kuact, kushabikia kwenye uzushi.
 
 
Kuna watu wanamacho kumchuzi lowasa hapo yupo mstari wa pili na hayupo pamoja na rais na hii picha ni ya leo kama umekula viazi vibichi usitegemee kuona vizuri hapo
 
 

hapo ulipo umejifunga kanga kiunoni unakuna nazi maana wewe ni mmbeya
 
Ila jk alikua anampiga jicho la uoga El sijui kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…