Kikwete na Lowassa kunani tena?

Lowasa ana ugonjwa wa kutetemeka kama kameza mjusi..naona aachane na mambo ya uraisi..watanzania hatuwezi kumgharamia matibabu atakapokuwa raisi....kwani kuna kazi ya kuondoa umaskini kwa watatnzania na siyo kuja kuangaika na mtu mmoja.
Hii picha ilipangwa na Wapambe wa Lowassa....hii ni adaa kwa umma wa watanzania na itatumiaka kwenye kampeni za 2015 ndani ya CCM.
 
Wewe ulikaa jukwaa kuuu ndo maana hukuona. Mimi mwanzo mwisho nimeangalia luninga. Hivyo ndivyo ilivyokuwa. Nilishangaa pinda kaka pembeni kabisa. Pinda alikuwa mkono wa kulia wa mama wa WAMA
ukisema ulingalia TV - utakuwa unachemsha zaidi - angalia post #130 utaona uongo wako na ukweli wangu! Kwa hali halisi nyuma ya mwamnyange hakuna nafasi ya mtu kusimama ndio Picha ya awali inavyoonyesha Kuwa EL kasimama nyuma ya Mwamnyange wakati sio kweli.
 
upo sahihi mkuu Mystery - hoja inathibitishwa na post #130
 
Last edited by a moderator:
nadhani ndio maana wametengeneza hii picha ili hiyo furaha irudi
 
EL Hana miguu kwa sababu yuko mstari wa nyuma. Kuna mtu aliwekewa kiti Kati ya JK na Mwamunyange na hukutokea hivyo kufanya picha ya EL kuonekana kana kwamba alikuwa sambamba na JK.
angalia post # 130, hakuna protocol ya kukaa au kusimama katika mstari huo, EL alikuwa nyuma benet na Mzee Msuya
 
Huna hoja nasikia wewe Una kifafa kinakutokea wakati wakujianda kufanya shughuli pevu za kupalilia uwele!
 

Tafsiri ni yeye siyo viongozi wa blabla ni kiongozi Mtendaji. Utachekaje wakati ajira ni janga la kitaifa, dhamani ya shilingi imendelea kushuka na maisha Kwa ujumla ni magumu. Hapa viongozi majini lazima atafakari kwa umakini unaostahili.
 

Wewe na yeye ndio mnaijua richmond ndio maana akajiuzuru,hamuwezi kufanya "critical thinking" sababu yeye ndio anatawala nafsi zenu,mimi sikubali kutekwa akili na mwanasiasa yeyote yule, nitakaye mpigia kura atajulikana october mwakani baada ya kufuatilia sera zake shida yangu sio chama wala mwanasiasa..!! Anafurahi kuwaona mnarukaruka hata kabla ya ngoma...!!
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, kwa wale waliokuwa wanafuatilia kwa luninga watakuwa wameona jinsi gani jk alikuwa anajitahidi kkumsemesha el lakini yeye ameuchuna kinoma, hata pa kuchekesha alikuwa hacheki kabisa!
 
Picha ya kutengeneza hii lowasa hakua jukwaa kuu,pia jukwaa kuu hawawez kaa kwa kubanana pia angalia picha ilivotengenezwa el hana miguu,
 

Jamaa alichepuka wodini maramoja kuja kuuza #nyago !

Keshakwea pipa tayari kwa dozi ilobakia wodini.
 
Picha ya kutengeneza hii lowasa hakua jukwaa kuu,pia jukwaa kuu hawawez kaa kwa kubanana pia angalia picha ilivotengenezwa el hana miguu,

Duh!

wewe uko vizuri naamini kwenye "IT"

Jamaa nikilema kabisa kwenye photoshop hiyo. Nimechunguza vizuri. Kwanza ka'freej mshenzi kake hapo kamebambana na kiwiko cha uyo Jenerali hapo jambo ambalo haliingii kichwani hata kidogo.

Bravo!
 
Kabla ya sikukuu ya uhuru wa Tanganyika iliyosherehekewa kwenye viwanja vya uhuru kulikuwa na taarifa humu jamvini kuwa JK atamfanyia Lowassa kitu cha kumuenzi siku hiyo. Kwa mshangao mkubwa nikamwona Lowassa amekaa karibu kabisa na JK, nikaamini habari hiyo ya kabla ya tukio.

Pia Jumatano iliyopita, Tegambwage alitoka kiaina kama kawaida yake na habari kuwa kutowajibishwa kwa Pinda na Bunge la Jamhuri ya muungano wa TZ hakuna maana kuwa amesalimika kwa JK. Jana kumekuwa na habari nyingine kutoka kwa "mgeni" Invisible kuwa JK atafanya kitu na kuwa tusubiri Jumatatu.

Maswali ya kujiuliza, je kwa Kikwete kukaa karibu kabisa na JK katika maadhimisho ya sikukuu ya uhuru wa Tanganyika kuliashiria kuwa JK atamrudisha Lowassa kwenye uwaziri mkuu kwa vile Pinda ameshindwa kumsitiri mfalme anayoonekana kuwa uchi sababu ya kashfa ya Escrow?

Swali lingine, mtiririko wa kashfa ya Escrow ambao unaanzia kwa IPTL kama alivyoeleza Lisu, unamwachaje Lowassa pembeni hadi aonekane msafi katika kashifa hizo. Ama, liwalo na liwe kwa vile alimsitiri mfalme kwenye kashfa ya Richmond wakati Pinda na mawaziri wengine hawakuwa tayari kubeba "dhambi" ya mfalme?.
 
Hivi Tanzania Bara huwa tunasherehekea siku ya jamhuri kama Kenya?
 
hiyo cd ilisha chuja leo ni uchaguzi
Hebu pitia taarifa humu kidogo tu, imechuja wakati kuna taarifa ya Baraza jipya la mawaziri? Unajua maana yake nini? Inahusiana na mabadiliko ya waziri mkuu. Ndiyo maana watu wanajiuliza, tulionyeshwa Waziri Mkuu mtarajiwa?
 


Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa, aliwafurahisha na kuamsha hamasa kubwa miongoni mwa wahudhuriaji na wanajeshi katika sherehe za kutunuku nishani kama vile amiri jeshi mkuu pale alipo kamata kwa ukakamavu wa hali ya juu mkono wa Rais Dk Jakaya kikwete wakati anawasili viwanjani hapo. Hakika kitendo kile kilizusha minong'ono miongoni mwa wanajeshi na kusema hakika 2015 kuna mkakamavu anaewatia moyo. Je wewe wajua haya basi piatia picha kwa umakini uone jk na Mwamunyange wakifurahia ukakamavu wa lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…