Kikwete na Koti la Azam Sembe

Kikwete na Koti la Azam Sembe

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
959
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
 
Ni sheria kila mtu ndani ya Production area kuvaa nguo au niseme koti linalo-reflect, kwa ajili ya usalama. Twende kwenye mada yenyewe, kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe ni sahihi kabisa. Kwanza nadhani mleta mada anadhani Rais atatumika kufanya matangazo ya Azam Sembe la hasha haitatokea hivyo hapo watakuwa wamefanya kosa. Hata Mh. Rais angetembelea kiwanda cha Bia kwa mfano Safari Larger angevalishwa koti lenye nembo ya Safari Larger.
 
Na wewe unashangaza zaidi! Sasa akivaa koti limeandikwa Azam Sembe kuna tatizo gani? Wewe huijui sembe ni nini?! Au ulitaka avae koti limeandikwa McDonalds ndio ungeona linafaa? Tuache ushamba.
 
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?

Mkuu kuna vitu jamaa kavurunda tena sana lkn kwa kiwanda cha AZAM hata ningekuwa mie ningevaa, kwanza Azam ni mzalendo mwenzetu au ulitaka waje wa CHINA akivaa basi starehe? tujipende wenyewe kwanza Azam ameajiri wa TZ wengi sana, bidhaa nyingi dukani sasa hivi chapa AZAM achana na supa market uchwara lkn huko wa TANGANYIKA halisi wanakoishi bidhaa wanazotumia 60% ni AZAM. halafu kafungua kiwanda, Ajira kibao pale CCM(I hate CCM kwa kweli) na JK waliahidi ajira 1000 sijui ngapi, huko ndiko wanakoponea. Mdau take it positive
 
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
hilo Wandugu hayo ni kawaida si Rais anashajiisha viwanda vya nchini Tanzania ni jambo la kujivunia kwa wote!! Maendeleo na uchumi bora..... Tujipendelee wenyewe kwanza!!
 
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?

acha uongo. koti liko wapi? mia
 
Ndugu yangu nadhani inabidi ujielimishe juu ya majukumu ya msingi ya Rais na viongozi wa ngazi mbali mbali. Siwezi kukulaumu kwa mtazamo wako lakini napenda ujue tu kwamba mtazamo wako ni potofu sana.

Jambo alilolifanya Rais hapo ni jambo la kujivunia sana. Sielewi watu wanapozungumzia kukuza uchumi wewe unaelewa nini, lakini ni pamoja na viongozi wa ngazi zote kushirikiana na wafanyabiashara kama Azam na wengineo. Hu ndio uzalendo, huu ndio uongozi bora, haya ndio mafanikio ya kuyapongeza, kuyasupport na kuyatangaza ili na wengine wajue na wajifunze.

Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
 
mtaani sembe inajulikana kama ni madawa ya kulevya......

sasa naona mleta mada ndo anaona rais kuvaa koti limeandikwa azam sembe ni tatizo kwa jinsi hilo neno sembe linavyotumika mtaani...
 
Hiyo ni kawaida ukitembelea production facilities as per international stds. Usalama makazini (EOSH). NILIDHANI KAPEWA TANI KUMI ZA SEMBE!
A%20S%2039.gif
 
Sasa nadhani hii ni too much.
Ni kweli rais alikuwa anatembelea kiwanda cha unga cha Bakhresa lakini hadi kuvalishwa koti lililoandikwa Azam Sembe na picha yake kusambazwa kwenye magazeti ni udhalilishaji mbaya kuliko ule wa kubembea kwenye michezo ya watoto Jamaica.
Hivi wapambe wake walishindwa kuwaambia viongozi wa kiwanda kumpa rais koti plain lisilo na maandishi?
Mkuu hakuna shida wala utata madamu kiwanda ni chetu na unga ni wetu na koti ni letu na walaaji ni wetu....No sweat at all !! Presidente Jk akitembelea mradi wanchini lakini akivaa kofia ya maEngineer wa kichina ndo nomaa? au udhalilishaji? acha kuchambua na kuchunguza sana..... ukimchunguza kuku hutomlaa !! Since mambo ni yetu tuchape kazi na tujenge Ona Bakharessa anajenga!
 
Kwani ubaya upo wapi..si kavaa brand ya kampuni ya kitanzania
 
Angekuwa ametembelea kiwanda cha kutengeneza condom na akavishwa koti lenye picha ya condom ingekuwaje?Nathani mtoa hoja ana hoja
 
Huyu angemuona rais kavaa koti limeandikwa Ford au Toyota,asingeshangaa! Kwa kuwa kavaa brand name ya Tanzania ndio anaona dhambi.
 
Back
Top Bottom