Kikwete: Mwigulu endelea kukamata wakwepa kodi

Kikwete: Mwigulu endelea kukamata wakwepa kodi

Taasisi za dini nazo zimulikwe ni wakwepa kodi wazuri.Misamaha inatumika vibaya wakiguswa wanakuwa wakali.

Mkuu mimi nawewe ndio tunaweza kuleta mabadiliko kwa kumchagua kiongozi muwajibikaji na mtendaji kwa ajili ya Watanzania. Na hii ni Mwigulu Mzee wa mabadiliko ni vitendo pekee anayeweza kutufikisha pale tunapotakiwa kuwa
 
Hujitambui wewe, Mawaziri na Wabunge wa kuingiza "vitu kwa ajili" ya wananchi wako wapi? Hawa waliojaa uroho na ulafi kama mafisi? Vitu gani vinavyooingizwa kwa ajili ya wananchi? Mbona hakuna ushahidi au kusikia wananchi wa jimbo lolote la hao Mawaziri na Wabunge wakiwafagilia kwa kuingiza "vitu kwa ajili ya wananchi"?

Usiongee vitu ili kujifurahisha au kuiridhisha nafasi yako kwa kuukataa ukweli. Km kuna mbunge anakubalika jimboni kwake basi ni Mwigulu maana kule Iramba wanamuita rais na mkombozi wao.
 
Kwa nini asianze na viongozi wenzake wenye biashara na makampuni lukuki katika kila kona ya Tanzania?

Kushindwa kufanya hivyo ni kufuka moshi tu huko.

Kuongea ni kazi rais sana kupita zote duniani. Usifikiri unayoongea hivo basi hata kutekeleza ni raisi. Kuna taratibu, sheria na ushahidi pia. sio tu ionekane comment jf basi akurupuke kila jambo lina taratibu zake. Na mh Mwigulu ni mtu makini sana katika kutetea haki za wanyonge.
 
Anayasema baada ya kubakiza mwaka mmoja ili iweje? Je huyo Mwigulu wenu alikuwa anafanya wakati wote mpaka maji yaanze kumwagika. ngoja data zinakusanywa mtaipata hivi karibuni tu, tumechoka na business as usual!

Mwigulu alikuwa hujapewa nafasi hiyo. Na unaangalia tu mwenyewe kwamba kwa mda mfupi tu toka apewe nafasi ya unaibu waziri ameweza kufanya mambo makubwa sana. .
 
AENDE ZAKE NYAMI SIFA UYO. ILI AAMINIKE AENDE AMKAMATE CHENGE ALOFICHA ELA UGHAIBINI. AKAMKAMATE WISON KABWE ALOIBA ELA JIJI LA MWANZA. AKAMKAMATE MASWI. MAMA TIBAIJUKA. MUHONGO et all. WAMEIBA ELA TOKA ESCROW ACC HAWA MAJAMBAZI.

MWIGULU ANALAKE JAMBO. ANAJIKOSHA KWA WATANZANIA KWAN ANAHISI TUTAMCHAGUA AWE RAISI. ICI ANADHANI SISI NO MATAHAJIRA KAMA MICCM MYENZAKE?? AENDE ZAKE MAPUA UYU NYAMISIFA PIA MWEHU UYU MSHIKA DAGAA NA KUWAACHA PAPA WAKI.ENJOY

Povu limekotoka jingi na cjaona hoja yako. It seems unatumia tumbo kufikiri na sio kichwa. Hii nchi inaongozwa kwa Sheria na taratibu.
 
Kikwete kwa usanii bwana. Yaani miaka yote hii alikuwa hajuwi kuwa wasiolipa kodi ilibidi wakamatwe? Kweli kuondoka kwa Lowassa madarakani ilikuwa pigo kwa Kikwete. Yaani mtu unakaribia miaka kumi ya urais hujuwi unafanya nini, mbona hatari?

Sikushangai km umeweza kuongea maneno haya ipo siku utamkana mama yako mzazi.
 
Mwigulu kusanya kodi tumlipe Seth Singa Singa....... Mbona mnazipiga daily kwa maposho ya mabilioni. silipo kodi mpaka ufisadi uishe.
 
Tatizo unalikwepa mwigulu ni matumizi mabovu ya mapato viongozi wanatanua na pesa za walipa kodi

Kutokana na wadhifa wake ndani ya chama na Serikali Mwigulu amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha anasimamia fedha za walipa kodi wa nchi hii zisitumike vibaya bali kwa maslahi ya wote.

Tumeshuhudia ni kwa kiasi gani amesimamia fedha zilizokuwa zikiibwa kupitia mishahara hewa na kutoa angalizo kuhusiana na fedha hizo.

Nchi inao viongozi wengi, lakini viongozi aina ya Mwigulu ni wa kuhesabu kama si kutafuta. Tunalo jukumu la pamoja kuhakikisha viongozi wetu wanatekeleza majukumu yao kama afanyavyo huyu ambaye ameonesha njia.
 
Kutokana na wadhifa wake ndani ya chama na Serikali Mwigulu amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha anasimamia fedha za walipa kodi wa nchi hii zisitumike vibaya bali kwa maslahi ya wote.

Tumeshuhudia ni kwa kiasi gani amesimamia fedha zilizokuwa zikiibwa kupitia mishahara hewa na kutoa angalizo kuhusiana na fedha hizo.

Nchi inao viongozi wengi, lakini viongozi aina ya Mwigulu ni wa kuhesabu kama si kutafuta. Tunalo jukumu la pamoja kuhakikisha viongozi wetu wanatekeleza majukumu yao kama afanyavyo huyu ambaye ameonesha njia.
 
Ulitegemea ufanye ugaidi na kupanda mbegu za chuki miongoni mwa Watanzania halafu tukunyamazie!? Hilo sahau kabisa gaidi.


Siku zote Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Mwigulu ni kiongozi shupavu na mwenye misimamo yake katika kutetea haki kwa maslahi ya wanyonge.
 
Back
Top Bottom