Kikwete: Mwigulu endelea kukamata wakwepa kodi

Kikwete: Mwigulu endelea kukamata wakwepa kodi

Weka ushahidi, siku zote huyu gaidi msaga sumu yuko busy busy Bungeni kurusha matusi dhidi ya viongozi wa CHADEMA, kutengeneza sinema za ushahidi fake na kuzurura nchi nzima kupandikiza mbegu za sumu kwa kumnadi yule aliyemwagiwa tindikali na chama chenu cha wahuni.

Mwigulu amepinga sana misamaha ya kodi tangu akiwa mbunge wa kawaida mpaka sasa waziri tofauti na yale mavuvuzela yenu ya chadema yanajari matumbo yao tu.
 
Nenda zako gaidi asiyekujua nani kuhusu unafiki wako. Bunge la posho baada ya kuona Watanzania wengi wanalipinga nawe ukatoa kauli isiyokuwa na uzito ili kufuata upepo na kutaka lisimamishwe, katiba fake ilivyopitishwa nawe ukakata viuno na kusifia katiba hiyo. Sasa kama kuna mambo ndani ya Serikali unayapinga kwanini uendelee kuwemo kwenye Serikali hii dhalimu badala ya kujiuzulu?

Acha kujiweka pamba masikioni ni Mwigulu na Zitto kwa mara ya kwanza walipeleka mswaada kwa spika juu ya marekebisho ya misamaha ya kodi
 
Talking with both ends of your mouth, which is which gaidi mwigulu? contradictions all over the place.

Kwa hilo la wabunge na mawaziri kuchukua mishahara bila kodi ni unyonyaji lakini kama wanaingia vitu kwa ajili ya wananchi waache wasamewe tu kodi

Acha kujiweka pamba masikioni ni Mwigulu na Zitto kwa mara ya kwanza walipeleka mswaada kwa spika juu ya marekebisho ya misamaha ya kodi
 
Yawezekana Waziri ana nia nzuri,lakini namsikitikia hivyo vita ni vigumu bila ya viongozi wakubwa kumuunga mkono.Wengi wameoza kwa kusaidia wafanyabiashara kukwepa kodi halali.Wabunge nao sio mfano wa kuhimiza kodi kwani wanaishi kwa misamaha ya kodi kuanzia gari hadi mirija yao.Sasa serikali inahimiza kodi sababu wafadhili wamechoka kuibeba serikali.Mwisho wa siku,itajikuta chumba cha maiti.
 
Weka ushahidi, siku zote huyu gaidi msaga sumu yuko busy busy Bungeni kurusha matusi dhidi ya viongozi wa CHADEMA, kutengeneza sinema za ushahidi fake na kuzurura nchi nzima kupandikiza mbegu za sumu kwa kumnadi yule aliyemwagiwa tindikali na chama chenu cha wahuni.

Sifa nyingine ya kiongozi bora ni kuweza kukemea kwa hilo Mwigulu anaweza sana ndio maana kila upotoshaji ukitokea anakemea kwa nguvu na Ujasiri
 
JK keshampa go ahead
 
Unakemea halafu kunapokuwa hakuna hatua zozote zinachukuliwa kwanini hujiuzulu? Kukemea na huku madudu yanazidi kuongezeka ndani ya Serikali hii dhalimu na wewe kuendelea kuikumbatia ni UNAFIKI. Jiuzulu kama kweli una nia njema na Tanzania badala ya kuendeleza unafiki.

Sifa nyingine ya kiongozi bora ni kuweza kukemea kwa hilo Mwigulu anaweza sana ndio maana kila upotoshaji ukitokea anakemea kwa nguvu na Ujasiri
 
Aanze na balozi wa heshima nchini China, mkuu wa home shopping center
 
Tatizo unalikwepa mwigulu ni matumizi mabovu ya mapato viongozi wanatanua na pesa za walipa kodi
 
Tatizo unalikwepa mwigulu ni matumizi mabovu ya mapato viongozi wanatanua na pesa za walipa kodi

Hilo ameishaamza kilifanyia kazi ndio maana akazuia posho za vikao na chai maofisini na kwamba hizo fedha zitumike kukagua miradi ya maendeleo.
 
Aanze na balozi wa heshima nchini China, mkuu wa home shopping center

Kila kitu kinaenda kwa taratibu, kanuni na sheria. Na sio kwamba Mwigulu Nchemba akurupe eti kwa kuwa ni naibu amkamate tu mtu bila uchunguzi na taratibu za awali.
 
Unakemea halafu kunapokuwa hakuna hatua zozote zinachukuliwa kwanini hujiuzulu? Kukemea na huku madudu yanazidi kuongezeka ndani ya Serikali hii dhalimu na wewe kuendelea kuikumbatia ni UNAFIKI. Jiuzulu kama kweli una nia njema na Tanzania badala ya kuendeleza unafiki.

Nafikiri hujatumia hekima na busara na hii ndio kawaida yenu machadema. kakwambia nani kutatua matatizo unayakimbia? Mwigulu ni mfano pekee wakuigwa na kupitia yeye wengine watabadilika Akipewa nafasi.
 
Yawezekana Waziri ana nia nzuri,lakini namsikitikia hivyo vita ni vigumu bila ya viongozi wakubwa kumuunga mkono.Wengi wameoza kwa kusaidia wafanyabiashara kukwepa kodi halali.Wabunge nao sio mfano wa kuhimiza kodi kwani wanaishi kwa misamaha ya kodi kuanzia gari hadi mirija yao.Sasa serikali inahimiza kodi sababu wafadhili wamechoka kuibeba serikali.Mwisho wa siku,itajikuta chumba cha maiti.

Kwa nafasi aliyonayo hawezi kufanikisha ila naamini tukimpa urais Tanzania yenye kipato cha kati inawezekana kupitia Mwigulu.
 
Unakemea halafu kunapokuwa hakuna hatua zozote zinachukuliwa kwanini hujiuzulu? Kukemea na huku madudu yanazidi kuongezeka ndani ya Serikali hii dhalimu na wewe kuendelea kuikumbatia ni UNAFIKI. Jiuzulu kama kweli una nia njema na Tanzania badala ya kuendeleza unafiki.

Changamoto za matatizo/mawazo hazikimbiwi kama wanavyofanya Ukawa hapa ni kupambana hadi kieleweke....
Hivyo Mwigulu ataendelea kupambana na kukemea as longer anazidi kuingia mkono na viongozi wenzake so ts just matter of time tu kila kitakuwa sawa
Watu ushauriwa kujiuzulu tu pale palipo na kashfa lakin nashangaa kwanin wewe haujiudhuru pamoja na kupata hati chafu kutoka kwa CAG?
 
Talking with both ends of your mouth, which is which gaidi mwigulu? contradictions all over the place.

Siku zote Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Mwigulu ni kiongozi shupavu na mwenye misimamo yake katika kutetea haki kwa maslahi ya wanyonge.
 
Weka ushahidi, siku zote huyu gaidi msaga sumu yuko busy busy Bungeni kurusha matusi dhidi ya viongozi wa CHADEMA, kutengeneza sinema za ushahidi fake na kuzurura nchi nzima kupandikiza mbegu za sumu kwa kumnadi yule aliyemwagiwa tindikali na chama chenu cha wahuni.

Mwigulu mtetezi wetu na kwa gharama yoyote Mwigulu tutamchangia mpk ana ingia ikulu.
 
Nenda zako gaidi asiyekujua nani kuhusu unafiki wako. Bunge la posho baada ya kuona Watanzania wengi wanalipinga nawe ukatoa kauli isiyokuwa na uzito ili kufuata upepo na kutaka lisimamishwe, katiba fake ilivyopitishwa nawe ukakata viuno na kusifia katiba hiyo. Sasa kama kuna mambo ndani ya Serikali unayapinga kwanini uendelee kuwemo kwenye Serikali hii dhalimu badala ya kujiuzulu?
Tunalo la kujifunza kwa Mwigulu
Na Angela Kiwia
“CHAMA chetu ni chama cha utaratibu na mimi ndiye msimamizi mkuu ndani ya chama, kundi langu ni CCM, wana CCM wana matumaini makubwa na mimi ya kuwavusha katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu”.
Hii ni moja ya kauli nilizowahi kuzisikia zikitolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, na Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Mwigulu Nchemba.
Katika kipindi kifupi tangu kuteuliwa kwake katika nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu ameonesha ni kwa kiasi gani alivyo na uwezo mkubwa katika uongozi na kusimamia ustawi wa nchi na watu wake.
Tumeweza kushuhudia hofu ya Mwigulu pale aliposimama bungeni katika Bunge Maalumu la Katiba kutoa tahadhari kuhusiana na fedha za walipa kodi.
Akiwa miongoni mwa viongozi tulionao nchini, aliweza kupatwa hofu ya fedha za walipa kodi kutumika ndivyo sivyo.
Hili si jambo la kupuuzia hata kidogo, bali ni jambo la kujivunia kuwa na kiongozi mwenye uthubutu katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanasumbuliwa na misigino ya kisiasa.
Katika mchango wake alionesha hofu yake ya kuendelea na majadiliano kwa siku 84 na hatimaye kushindwa kupata theluthi mbili za Tanzania Bara na theluthi mbili za Tanzania Visiwani ili kupitisha Rasimu tayari kwa kupigiwa kura ya maoni na Watanzania.
Mwigulu alifikia hatua ya kumtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba afanye hesabu na kujiridhisha juu ya kupatikana kwa takwa hilo la Kikatiba.

Hii ilikuwa ni hofu kuu. Ni hofu iliyotoka rohoni, isiyokuwa na chembe ya shaka. Aliweza kuona dalili za kulazimisha visivyolazimishwa.
Hofu inayolenga kuponya fedha za walipakodi wa nchi hii zinazoweza kutafunwa kwa siku 84 bila ya kupelekewa Rasimu ya Katiba kuipigia kura.
Ni hofu ya wengi, wachambuzi na wachokonozi wa kisiasa waliiona kauli ya Mwigulu kama kuanza kushtuka kwa CCM na viongozi wake.
Mwenyekiti wa Bunge hilo hakuweza kuiona hofu ya Mwigulu, hakuufanyia kazi ushauri wa mjumbe wake, lakini naamini ya kuwa nafsi ya Mwigulu ilikuwa huru baada ya kutoa dukuduku lake.
Kutokana na wadhifa wake ndani ya chama na Serikali Mwigulu amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha anasimamia fedha za walipa kodi wa nchi hii zisitumike vibaya bali kwa maslahi ya wote.
Tumeshuhudia ni kwa kiasi gani amesimamia fedha zilizokuwa zikiibwa kupitia mishahara hewa na kutoa angalizo kuhusiana na fedha hizo.
Nchi inao viongozi wengi, lakini viongozi aina ya Mwigulu ni wa kuhesabu kama si kutafuta. Tunalo jukumu la pamoja kuhakikisha viongozi wetu wanatekeleza majukumu yao kama afanyavyo huyu ambaye ameonesha njia.
Tunalo jukumu kumhakikishia ya kuwa tunamuunga mkono katika utekelezaji wa majukumu yake na katika kulitumikia taifa letu na sio kumbeza kama ambavyo wengine wanafanya.
Pamoja na Mwigulu kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM amekuwa akitimiza majukumu yake ya Naibu Waziri wa Fedha bila ubaguzi jambo ambalo limekuwa adimu katika kipindi hili.
Tanzania yangu ya sasa inahitaji viongozi walio na utayari wa kuwatumikia wananchi wake, walio na uchungu na mali na raslimali za nchi na si vinginevyo.
“Mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa nilipo, niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote. Hata nilipokwenda kugombea sikuwa hata na baiskeli, pikipiki wala gari. Mimi sina kundi na wala sitokani na makundi yanayokinzana, sina kundi lolote ndani ya chama wala siegemei kundi lolote.”
“Lililo jema ni kutokuwa na chuki wala ugomvi na wanaCCM wenzangu. Sina sababu na wala sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu.” anasema.
Hii ni miongoni mwa kauli zilizowahi kutolewa na Mwigulu, kauli inayopashwa kutolewa na kiongozi anayesimamia kile anachokiamini katika utekelezaji wa majukumu yake bila kuegemea upande wowote ule.
Tanzania ya kizazi hiki inahitaji viongozi wenye maono, wenye uthubutu wa kusema hapana sasa imetosha, viongozi walio na uchungu na ndugu zao kutokana na maisha wanayoyaishi.
Mwigulu Nchemba ni miongoni mwa viongozi walioonesha msimamo wao katika kutetea kile wanachoamini kuwa ni kwa ajili ya Watanzania wote na kwa faida ya wote.
Ni vyema tukasimama na kumuunga mkono yeye pamoja na viongozi watakao kuwa tayari kutimiza wajibu wao kama afanyavyo Mwigulu.
Tunalo jukumu la kusimama pamoja na Mwigulu kuhakikisha ya kuwa yale anayoyabainisha anayatetea bila hofu kwa faida yetu sote.
Source DIRA YA MTANZANIA
 
Kila kitu kinaenda kwa taratibu, kanuni na sheria. Na sio kwamba Mwigulu Nchemba akurupe eti kwa kuwa ni naibu amkamate tu mtu bila uchunguzi na taratibu za awali.

Mkuu, I am just responding the way mleta mada alivyoileta, which is total shame

Kwenye perepete mtamtaja Mwigulu, ikija kwenye accountability mnakumbuka "system"

We should review the way we present or trumpet these political muppets

Hoja imekuja kisiasa nimeijibu kisiasa
 
Back
Top Bottom