Kwa hilo la wabunge na mawaziri kuchukua mishahara bila kodi ni unyonyaji lakini kama wanaingia vitu kwa ajili ya wananchi waache wasamewe tu kodi
Mh rais amesema kuna baadhi ya watendaji wanakwamisha maendeleo kwa utendaji wao mbovu
Lakini Mwigulu atakusanya kodi hadi nchi yetu iweze kujiendesha bila kutegemea Wahisani
Taasisi za dini nazo zimulikwe ni wakwepa kodi wazuri.Misamaha inatumika vibaya wakiguswa wanakuwa wakali.
Anayasema baada ya kubakiza mwaka mmoja ili iweje? Je huyo Mwigulu wenu alikuwa anafanya wakati wote mpaka maji yaanze kumwagika. ngoja data zinakusanywa mtaipata hivi karibuni tu, tumechoka na business as usual!
Wamefunguliwa kesi mahakama gani na imetajwa lini? Huu ujanja wa kupiga picha za kuuzia sura kwa ajili ya ghilba umepitwa na wakati. Danganyaneni huko huko CCM, au nendeni mkamkamate mkwepa kodi namba moja Tanzania pale Home Shopping Center
Nangojea siku ya kukamatwa bakharesa, rostam, na manji nitatembea uchi na uzeee wangu toka kaliakoo mtaa wa kongo mbaka mbagala chamazi
AENDE ZAKE NYAMI SIFA UYO. ILI AAMINIKE AENDE AMKAMATE CHENGE ALOFICHA ELA UGHAIBINI. AKAMKAMATE WISON KABWE ALOIBA ELA JIJI LA MWANZA. AKAMKAMATE MASWI. MAMA TIBAIJUKA. MUHONGO et all. WAMEIBA ELA TOKA ESCROW ACC HAWA MAJAMBAZI.
MWIGULU ANALAKE JAMBO. ANAJIKOSHA KWA WATANZANIA KWAN ANAHISI TUTAMCHAGUA AWE RAISI. ICI ANADHANI SISI NO MATAHAJIRA KAMA MICCM MYENZAKE?? AENDE ZAKE MAPUA UYU NYAMISIFA PIA MWEHU UYU MSHIKA DAGAA NA KUWAACHA PAPA WAKI.ENJOY
Mwigulu ana miezi 7 tu toka ameteuliwa na ndio amekuja na hayo yote ambayo ni faida kwa taifa
Taasisi za Dini ni non profit organization thus why
Posho za wabunge katika bunge la katiba wamechangia % ngapi ya kodi kutoka katika posho zao?
Kumbuka UKAWA walisaini posho katika BMK ndio wakatoka bungeni na kwenda Kibanda maiti,Mh Mwigulu katika kupinga matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi alitoa maagizo kwa bank zote kutowalipa.
Mwigulu ana miezi 7 tu toka ameteuliwa na ndio amekuja na hayo yote ambayo ni faida kwa taifa
Miongoni mwa wakwepa kodi ninaowajua mimi ni pamoja na mbowe,mengi na wengine kibao ila kwa mwigulu atawanyoosha.Upuuzi mtupu!!! Kuna wakwepa kodi nchini wakubwa kama mawaziri na Wabunge ambao kila mwaka wanapata misamaha ya kodi ya shilingi Trilioni moja na nusu pamoja na kuwa Serikali ina matatizo makubwa ya kifedha!? Lini hao wataanza kukamatwa?