assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Rais kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.
nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kuzani ni upepo tu yatapita. hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri muhongo. kumlinda am a kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe siku likilipuka litakuabisha sn mh raisi.
angalizo;
mh nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua saksta LA escrow kabla halijapoa
mh ole sendeka amedai kupeleka hoja binafsi
mh kafulila pia alisema.
ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani nawaziri mkuu kuanguka.
mh raisi fungua macho uone
argue don't shout!!!!
Ni Siku Chache Tu Zimebaki Kuanza Kwa Bunge. Sasa Kama Wabunge Wote Wa Ukawa Wakaunga Hoja Ya Kutokua Na Imani Na Waziri Mkuu Na Baadhi Toka Chama Tawala Itakuaje? Na Ndicho Kinachosubiriwa, Rais Asisubiri Hii Aibu Muda Umebaki Mfupi Kwake.
Kumbe siku moja moja, na wewe assadsyria3, unajuaga kutoa hoja za msingi zenye maslahi ya Taifa?!Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.
Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.
Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.
Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.
Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.
Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.
Mh. rais fungua macho uone.
Argue don't shout!!!!
ofcoz maslahi ya nchi ni muhm
Kumbe siku moja moja, na wewe assadsyria3, unajuaga kutoa hoja za msingi zenye maslahi ya Taifa?!
Miongoni mwa post chache sana, ulizowahi kuzitoa humu JF zenye maslahi ya Taifa, hii itakuwa mojawapo.
Kwa post hii, unadeserve hata kupata LİKE yangu!
Asante mkuu assadsyria3 kama nilishawahi kukudharau(definitely yes)nadhani ni muda wangu wa kuanza kukufikiria upya,unaniruhusu? Au kuna kitu umepiga kikakupa hisia za haki?
Muulize sendeka na kafulila wamepewa shilingi ngapi na mengi kuendelea kumtishia nyau jk?Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.