Kikwete: Mtaumbuka baada ya 2015

Tunamshukuru sana Mh. Raisi kwa mchango wake katika kipindi hiki, wasomaji wengi walitegemea aseme 'mtaikumbuka ccm baada ya 2015'.

Jamani, tuwapishe na wengine watoe mchango wao wa uongozi!
 
Mipasho hiyo hiyo ndiyo itakayowaumbua.
Hatutatumia jicho la tatu bali bali tutayafungua macho yote tuone utekelezwaji wa ahadi ya kwanza hadi ya mwisho! Kweli kama atatekeleza zote kuna watu wataumbuka. Lakini hadi sasa ni wastani wa asilimia 25% nadhani kama hizo 75% zilizobaki asipotekeleza CCM itaumbuka 2015! Mfano mmoja ni kuwa katika kampeni aliahidi kujenga hospitali 8 za rufaa!
 
JK amejitahidi sana kujenga miundombinu japo hela zenyewe za madeni na sijui atakuja kulipa nani.
barabara ya kutoka singida hadi arusha ni moja ya sehemu zilikuwa zinaniudhi sana!!
HONGERA JK JAPO CCM mwisho wao ni 2015

Atalipa mwenyewe na familia yake ngoja tupate katiba mpya ambayo tunaipigania huku ccm yake ikitaka kuichakachua, najua tutashinda. Anaweka pesa zetu nyingi kwenye mabenki ya nje nikiwa na maana anakopa nje huko halafu zetu wanaiba kazi kwelilkweli
 
Daaaaaaaaaah?

Ni wajibu wake.
Ni kodi zetu wala sio hela zake.
Ufujaji ni mkubwa zaidi ya utekelezaji.

Umeme bado wa kuunga unga.
Vitambulisho viko wapi?
Reli zote ni zero.
Air Tanzania ni zero.
Elimu ni zero.
Afya ni zero.
Maisha bora ni zero.

Go figure!
 
Na asisahau kuwa madeni ya nchi hii yamegonga trillion 3 na "bado tunakopesheka"

Hahahahahaaaaaa, nchi iko rehani eti "bado tunakopesheka"
 
Chadema wanafanya siasa tu ila wanajua kuwa hakuna raisi bora katika historia ya nchi yetu ya tanzania km jk.

Subirini muda ukifika mtaenda kumsalimia ukonga. Hapo ndio mtajua kama alikua raisi bora.
 

Kwanini ccm mnapenda kuabudu mtu? Chadema is not about individual. It is a about people. Yeyote anayetaka kuabudiwa ndani ya chama hana nafasi. Wananchi watamtoa mara moja. Nyie kutwa kuabudu mafisadi yenu.
 

Hivi maccm mnaweza kuwa wajinga kiasi hiki? Hela wanayolipwa wafanyakazi wa serikali na wabunge ni kodi tunayolipa. Ndio maana wananchi inabidi tuwe wakali kwa mafisadi.

Cam on now. Don't be that stupid.
 
Last edited by a moderator:

Dada yangu Tatu nimefurahi kukuona hapa. Nimepitia michango yako ya miaka ile ya 2006 japo hapa sikubaliani na mtazamo wako ila nafurah sana kusoma maandishi yako. Mic you sana.
 
Last edited by a moderator:
Hivi maccm mnaweza kuwa wajinga kiasi hiki? Hela wanayolipwa wafanyakazi wa serikali na wabunge ni kodi tunayolipa. Ndio maana wananchi inabidi tuwe wakali kwa mafisadi.

Cam on now. Don't be that stupid.

Hivi ndio yule Tatu wa miaka ya 2006 mkuu? Mbona mkali ivo.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana hamuelewi kila siku;
Sijui hata kama unachangia hata shilingi kwenye
kodi; nyie ndo wakwepaji kodi na majungu kibao;

Napenda Tanzania napenda CCM.

Hivi maccm mnaweza kuwa wajinga kiasi hiki? Hela wanayolipwa wafanyakazi wa serikali na wabunge ni kodi tunayolipa. Ndio maana wananchi inabidi tuwe wakali kwa mafisadi.

Cam on now. Don't be that stupid.
 
Ndo maana hamuelewi kila siku;
Sijui hata kama unachangia hata shilingi kwenye
kodi; nyie ndo wakwepaji kodi na majungu kibao;

Napenda Tanzania napenda CCM.


Sijui huyu kaanza lini kupigia debe kile chama kisichoona jema? Bora umemuambia ukweli.
 
Tatizo ni kwamba na yeye hafahamu kama ni wakati gani ni rais na ni wakati gani ni kiongozi wa chama. Anazidi kuchanganyikiwa pale anapotembea mahali kama rais anakutana na mawaziri na watendaji wa serikali wamevaa kijani. Anajisahau na kuanza kumwaga sera za chama akidhani ni mkutano wa CCM. Akina pro. Muhongo msaidieni rais acheni kutinga na vest za kijani kwenye mkutano wa rais.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kazi kweli kweli....taarabu dot com.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…