Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
ukiwa mwizi lazima ujilinde..we si umeona waziri mkuu wa UK anakata mitaa tu spain wala hana wasiwasi..sasa wa kwetu huyu kila saa anakumbuka kura alizoiba anaona kama kuna watu wanamnyemelea wampige ngeta
Hahahahahaa, ni ulaji tu wa walinzi ndo wanalazimisha kujipa ajira. Akitembea mitaani hakuna hata mtu atakaye pay attention, sana sana mitaa fulani atazomewa
hata papa benedict xvi analindwa, itakuwa rais wa tanzania bwana anayeandamwa na kashfa serikalini mwake?
hata papa benedict xvi analindwa, itakuwa rais wa tanzania bwana anayeandamwa na kashfa serikalini mwake?
Huo mtuno, mhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
KAKAAAA KUNA KITU KINAITWAAAA...."PROTOCAL'' HATA KAMA NI MKEO... UTAPEWA SIKU ZA KULALA NAE....!!!!!! ONLY IF SHE LEADS THE STATE n YOU ARE THE 1ST MAN............ RAIS LAZIMA ALINDWE
That's news to me~hivi Obama aliiba kura?.Tutajieni Rais gani Duniani asielindwa?? kama kulindwa ni kigezo cha kuchakachua Kura basi Obama ndo mchakachuaji mkuu!!! JK ni Rais mbovu but nasi tusiruhusu kuwa wabovu kwa kumpima kwa vigezo vibovu,Ulinzi wa Rais has nothing to do with our life, thread za kijinga kama hizo pelekeni kwenye blog za kina shigongo hapa ni makazi ya Great thinkers, muwe na adabu japo ya maigizo kwa muda!!!!