Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Chadema inachonga barabara............................... Hao wanadesa vibaya sana
 
Anazungumzia kilimo cha uhakika, cha umwagiliaji! na ameanza kwa nguvu kwenye kilimo kwanza, mpango wa kuongeza mabibishamba na mabwana shamba! KILIMO BORA!
 
Mbona mtangazj ahoji kuhusu mafisadi?ml700 m2ndu 4 ya choo?wakt dr slaa walmuuza khs mke wake au wanamuogopa?kwel tz full usanii
 
jamaa anaumwa na naomba clouds wakatishe mazungumzo... he is not ok na hiyo stammer si ya kawaida... please daktari wa kikwete omba "cut"

please!!!
 
Hiyo namba ukipiga inajibiwa kuwa haipa sasa sijui kama kuna namba nyingine,hapa anaongelea kuzidi kwa ukusanyaji wa mapato.anasema kukusanya na kuzibiti.swali anaongeleaje kuhusu hujuma ya bwagamoyo ya mayundu ya chooo?
 
jamaa anaumwa na naomba clouds wakatishe mazungumzo... he is not ok na hiyo stammer si ya kawaida... please daktari wa kikwete omba "cut"

please!!!

Daktari wake amekuwa prof. Ni habari ilikuwa headline magazeti ya udaku ya serikali ila naona uprofesa wake hauna tija jamaa afya mgogoro
 
Kikwete asema groceries zimeleta ajira ya wabeba masanduku ya bia na wafungua bia na soda
Typical jei kei, might as well say aongeze guest house ili watu wengi wapate ajira ya uhudumu wa guest house! What a shame!
 
Kigugumizi kitupu. Uongeaji wake haumfanyi mtu abadilke maana hana convincing power. Jamaa anaongelea E government wakati watu wanalalia ngozi za ngo'mbe
 
Leo hata bonge kawekwa pembeni...mimi nimesubiri toka 7:15 wameanza saa 8:10 hivi...hawezi kukeep time huyu? Yule msichana Babra sijui nane akamwambia ''ndio zako hizi''...urais kweli maskhara
 
Kikwete asema groceries zimeleta ajira ya wabeba masanduku ya bia na wafungua bia na soda



Tehee teheeeee! ni kweli kaongea hivyo wakati anaojiwa na Clouds fm, na sasa anasema foleni za Dsm ni kielelezo cha mafanikio kwa sababu watu wanaingia ktk daraja la middle class.
 
Nisisimkwa ni mwili, hakuna kitu hapa, he was suppose to be a Party Secretary wa CCM
 
Eti foleni ya jiji la dar ni maendeleo???
Wakuu sasa mimi simuelewi kabisa huyu jamaa na kigugumizi chake hicho
 
Back
Top Bottom