atafanyaje saas mambo yamekaa kizungumkuti?? (joke)Kila anachofanya Rais Dr Slaa lazima na Kikwete aige?
Ndo ameanza mida hii..wanamuuliza kuhusu makundi maalum
Mimi nina hisia Clouds wamerekodi kabla na kuedit kwanza, siamini wanarusha live!
Mimi nina hisia Clouds wamerekodi kabla na kuedit kwanza, siamini wanarusha live!
Huenda walikuwa wanadiscuss maswali yao kwanza na kukubaliana yapi yanafaa kuulizwa na kumpa mheshimiwa muda wa kupata data kidogo.Kachelewa kwa zaidi ya saa moja itakuwa vizuri wakimuuliza kulikoni hadi kuchelewa kiasi hicho?
anaongea kuhusu wasaniii jamani sikilizeni huyu mtu ntapasua kijiredio hiki!Huenda walikuwa wanadiscuss maswali yao kwanza na kukubaliana yapi yanafaa kuulizwa na kumpa mheshimiwa muda wa kupata data kidogo.
Kachelewa kwa zaidi ya saa moja itakuwa vizuri wakimuuliza kulikoni hadi kuchelewa kiasi hicho?
Hivi ni bora kujenga machinga complex au kuboresha mazingira mikoani ili kusiwe na hii influx. Stupid! Ni sawa na kusema tuongeze kondom na ARVs!