KIKWETE: Leteni Majina ya Wajumbe wa KATIBA niwateuwe!

kibunda

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
403
52
Hatimaye Mchakato wa kuandika Katiba mpya umechukua sura mpya baada ya Rais kuitisha wadau mbali mbali kupeleka majina ya watu wenye sifa ili awateue.

Source: Chanel Ten.
 
changa la macho hilo ndugu zangu ni kuondoa lawama tu ila watu amabao wana nia ya kutengeneza katiba safi hatawakubali, maana hata muswada ulivopelekwa na kupishwa kimizengwa haionyeshi kama kuna political will, anyway let's watch his move so closely!!
 
jk ni jembe la katiba mpya tunamhiji sana atupatie katiba bora bila yeye kuna mambo yatakenda ndivyo sivyo. mungu amjalie afya njema akamilishe katiba
 
Kingunge Ngombare Mwiru anafaa huyu mzee anauzoefu wa miaka mingi kwenye katiba
 
jk msikivu hili ni mojawapo ya mapendekezo ya chadema walipokwenda ikulu ambapo walishauri wadau wapendekeze majina badala ya rais.
 
changa la macho hilo ndugu zangu ni kuondoa lawama tu ila watu amabao wana nia ya kutengeneza katiba safi hatawakubali, maana hata muswada ulivopelekwa na kupishwa kimizengwa haionyeshi kama kuna political will, anyway let's watch his move so closely!!
Kaka lini ulihitimu chuoni kwa marehem yahya husein?
 
ni hatua nzuri ya rais kuelekea kwenye kupata katiba mpya ya nchi.tutakukumbuka mh.kikwete
 
Ni uamzi mzuri utakaosaidia kuondoa malalamiko kutoka kwa waliozoea kulalamikia kila kitu!
 
Back
Top Bottom