Kikwete kutunukiwa shahada ya heshima OUT leo

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12552819_1026910744040050_3128366966245000626_n.jpg
 
Kikwete hakuwahi kusuluhisha mgogoro wa Kenya. Yeye alitumwa tu na Bush. Hizi sifa nyingine hizi mmhhh
 
Prof. Bisanda analipa fadhira kwa kupewa hicho cheo dakika za majeruhi wakati Kikwete anaondoka ...................!!
 
Chuo kina baraza la senate. Kama wameona Kikweke anastahili, so be it.
 
Back
Top Bottom