Kikwete kuongelea ufa wa udini ni geresha tu

Mtu mwenye busara akikwambia mambo ya kijinga, usipopinga yeye atakua wa kwanza kukudharau! Let wake up people, tunataka kushindwa hata na wanyama wa serengeti?
 
Na sisi wapagani tufanyeje?? Ninyi wenye dini mnataka kuuwana si heri tu muwe kama sisi hamtakuwa na ugomvi wala chuki na mtu. Huku kwetu tunaamini sheria za nchi tu. Ni vyema dini zikaachwa kwani zimeshindwa kuleta amani na upendo. Au mnasemaje wajameni?? Mnawindana kwa majina ambayo mmeletewa ama na wazungu au waarabu. Ukoloni huu unawafanya mnabaguana na kugombana na misingi ya jina tu ukihisi jina fulani ndilo la mtu wetu. Heri sie kina mwawa, madeghesho, Kimweri, Mrisho, msambatavangu hakuna anayetujua.

Mkiendelea kushadadia udini na nani wengi nani wachache tutazamisha Taifa. mbona Iran, Iraq, Qatar , Saudia wote wana majina sawa na wengine wenye majina tofauti ni wachache ila wanaishi au huku Germany, mexico, sweeden wengi wanamajina ya mawe na wachache wanamajina yao lakini wanaishi??

Tatizo la Tanzania ni umasikini na ukosefu wa elimu. Heri tungenyukana ili kupunguza wezi serikalini watujengejee shule bora za watoto wetu wawe wagunduzi, wajitengenezee ajira wawe na uhakika wa kula milo minne kwa siku akili zifanye kazi zaidi. Naamini kila mtu akiwa na shughuli ya kufanya tukaondoa vigenge vyote kutwa nzima hutasikia haya mambo. Ukosefu wa ajira, elimu, uduni wa maisha ndio unatufanya tunakuwa na muda mwingi wa kuongelea non Issue too much.

Sioni kama dini ndizo tatizo la umasikini wetu? Umasikini unaletwa na sisi wenyewe kama Taifa. Watawala wamekuwa smart wametukamata wametugawa kwa misingi ya dini wao wanatuibia na hawafanyi kazi.

Jana niliwakuta wanashangilia sana baadhi ya mawaziri wanasema afadhali tumepata mambo ya kupigana nayo badala ya kuisumbua serikali ituletee maendeleo.

Ukweli usiofichika kama kweli unaamini kuna kundi linalokudidimiza hufikiri vizuri. Ukitaka kujua binadamu tumeumbwa sawa ila jinsi tunavyoishi tunapoteza hali ya kuwa responsible na maisha yetu. Tasisi zetu ni vioo vya maendeleo yetu ukiwa kwenye taasisi ambayo yenyewe imeshindwa kujiletea maendeleo ur r in big trouble. Kama mbunge alishindwa kutetea jimbo lake hawezi kutetea nchi, kama diwani alishindwa kutetea kata yake hawezi kutetea jimbo na kuliletea maendeleo. Ukiongoza watu kwenye Taasisi yeyote ukashindwa kuiendeleza ukaanza kulalamika wakati tayari una resources watu kazi kweli kweli.

Tanzania ni nchi nzuri sana yenye amani na upendo. Kati ya kundi ambalo limetengwa na huwa halilalamiki ni kundi letu sisi wapagani. Zaidi ya kingunge Ngombale Mwiru hakuna mpagani mwingine amewhi kuwa hata mbunge. Ila ninyi wenye dini mnagawana madaraka kama njugu halafu leo mnaanza kulaumiana eti huyu anatuonea ooh yule ndio mbaya. Si mmesha peana miaka kumi kumi. Kwanza kaeni chini muelewane je mlipena uraisi ili kunufaisha dini moja au watanzania??

Sisi wapagani nasi itabidi tujipange tunadai wakati wetu tena tutahitaji kuanzia raisi mpaka mwenyekiti wa kitongoji kwa miaka kumi. Na wakati wetu hatutaka kusikia makelele ya aina yeyote na mkae kimya na dini zenu.

Kila kundi linahaki sawa Tanzania, kila rangi ina haki sawa TZ. Kama kuna kundi linaona linanyimwa haki yake ya kikatiba ni vyema kuweka haki zaki bayana na likipewa makundi yote nayo yapewe bila upendeleo.

Chief Mkwawa wa Kalenga
Kama dini zinashindwa kuwafanya Watanzania ziacheni. Warudishieni wazungu na waarabu dini zao turudi kwenye apango yetu.

Mkuu umeongea la maana kweli.udini uliopo ni dhahiri wapagani hawana chao kwa sababu.mkatoliki nyerere ameshawahi kuwakatalia baadhi ya waasisi wa tanu kugombea urais wa nchi kwasababu ni wapagani.nyerere mkatoliki ndo aliyeanza kuwafeva sana wakatoliki ndo maana leo wanajifanya wao ndo wamili wa nchi.ndugu zanguni wapagani kwamujibu wa maneno ya mkatoliki nyerere itabidi muritadi koz hamna chenu.wale wakiristo wafahamu kua kutesa ni kwazamu,sasa ni zamu ya waislamu.2015 rais atatoka zanzibar hapo kutesa ni zamu ya wazenj.2025 rais atakuwa mkiristo hapo ndo itakuwa zamu uongozi ni mbio za kifimbo lazima tupokezane.wapagani subrini katiba labda nanyi mutafikiriwa
 
JK ndio muasisi wa UDINI.

kwa wale wasomi wakitanzania wanaelewa fika kuwa muasisi na mwanzilishi wa dini ni mkatoliki nyerere.ndo maana pale kingunge alipotaka kugombea urais tanzania,nyerere akasema wazi wazi kuwa.mtu hana dini hatuelewi imani yake iko upande gani,tukimpa urais mtu huyu tumuapishe kwa kutumia jiwe!hayo ndo baadhi ya maneno ya udini aliyoyatoa nyerere mbele za watu bila aibu.swali.jee!jee kingunge alikuwa hana haki yakugombea urais kwa sababu hana dini?ama nyerere akitaka kingunge aritadi,ama katiba ndo inayosema kama mtu hana dini asigombee?
 
JK ana udini sana. Tazama wenyeviti wa bodi mbalimbali za mashirika ya umma nchini. Ni Waislam tupu!

Ukiangalia udini kwa mtindo huo utakua umepotoka. Hatuitaji kujua fulani anaeongoza taasisi fulani ni dini gani. Pia wewe utakua unatumia kigezo cha majina ukifikiri huo ndio udini.
 
Ndugu yangu wewe sasa ndio mdini kuliko Jk.
Mtu akisoma tu hii topic yako anajua kabisa kuwa haupo neutral bali unapendelea Ukristo.

Unaposema hata wakati wa Mwinyi hali haikuwa hivi bila kutaja awamu nyingine ambayo marais walikuwa ni wakristo ndipo unappojidhihirisha kuwa wewe umebez kwenye ukristo na ni mbaya kuliko huyo JK.
Eti ukiacha kasoro ya kuchoma bucha la nguruwe!!

Umesahau wakati wa Mkapa yalitokea mauaji ya waislamu pale Mwembe chai?

Hiyo sio kasoro ya udini? Au kwakuwa waliuawa waislamu?

Acha unafki na uchochezi.
Wewe ndiye mdini kuliko JK.

Wewe ndio mdini kweli kweli, unashindwa kujiuliza hawa waliuawa kwa sababu zipi! Si walikuwa wanafanya uhalifu na uchochezi wanakimbilia msikitini. Ulitaka awaache kwa kuwa wapo MWEMBECHAI. Mbona Kikwete kawakamata pale mwenge wakiwa Kanisani kwa Mwingila, hatusemi, ni kwa sababu walifanya uhalifu. Na wakifanya hivyo ni lazima wachalazwe hata ikiwa wapo msikitini au kanisani.

Huna hoja, wewe ni mdini tu kama Kikwete.
 
Ndugu zangu watanzania wazalendo,

Kwa wale wanaofuatilia mwenendo wa maisha hapa nchini, mnaweza kukubaliana nami kuwa hakuna wakati ambapo suala la udini limeibuka waziwazi kama sasa chini ya uongozi wa kikwete. Hata wakati wa mzee mwinyi hali haikuwa hivi ukiondoa lile tukio la kuchoma moto bucha za nguruwe.

Jambo la kujiuliza ni je, kwa nini hali hii itokee sasa? Ukweli ni kwamba moja ya agenda ya kikwete katika uongozi wake ni eti kuwanyanyua waislam. Hilo limejidhihirisha wazi katika teuzi zake nyingi kwenye nafasi mbalimbali serikalini. Mfano mzuri tu, angalia balozi zeti nje ya nchi. Angalia mabalozi waliopo nchi tajiri za ulaya na asia na angalia nchi maskini hapa bara la afrika na asia. Utapata jibu.

Inasemekana hata suala la mahakama ya kadhi amewaambia waislam wenzie kuwa wakae kimya na kuwaahidi kuwa atalishughulikia kwa staili nyingine. Ndiyo maana sasa hivi halipigiwi kelele sana.

Ninachotaka watanzania wazalendo watambue ni kwamba tuna kiongozi mdini na hatari sana. Anachoongea jukwaani sicho kilichomo moyoni na wala sicho anachotenda. Muhimu ni kuomba Mungu amalize uongozi wake bila nchi kuingia ghasia za kidini. Vinginevyo, tunakoelekea ni hatari.

Hatua ya kuongelea suala la udini kwenye hotuba yake bungeni hivi karibuni kwamba ni mojawapo ya nyufa kubwa na hatari ni geresha tu ya kuwapumbaza wananchi ambao tayari wameanza kuwa na wasiwasi nae.

Mkuu kwa hali ilivyo, na jinsi navyomfahamu huyu jamaa kutoka kwa watu aliofanya nao kazi kwa karibu, nilitegemea hii hali lazima itokee.

Na bado hali itakuwa mbaya zaidi ya hapa kwani hajafanikisha malengo yake
 
kwa wale wasomi wakitanzania wanaelewa fika kuwa muasisi na mwanzilishi wa dini ni mkatoliki nyerere.ndo maana pale kingunge alipotaka kugombea urais tanzania,nyerere akasema wazi wazi kuwa.mtu hana dini hatuelewi imani yake iko upande gani,tukimpa urais mtu huyu tumuapishe kwa kutumia jiwe!hayo ndo baadhi ya maneno ya udini aliyoyatoa nyerere mbele za watu bila aibu.swali.jee!jee kingunge alikuwa hana haki yakugombea urais kwa sababu hana dini?ama nyerere akitaka kingunge aritadi,ama katiba ndo inayosema kama mtu hana dini asigombee?

Acha unafiki, udini na chuki tu vimekukaba kichwani mwako kama huyo mdini mwenzenu alivyo. Ndio maana hata Nyerere hamwiti Baba wa Taifa, bali anamwita MZEE NYERERE.

Hebu niambie, ni kipindi gani Kungunge alitaka kugombea Urais?

Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka haya " Hata Kama mtu hana dini tutatafuta namna ya kumwapisha, ni lazima aape kuilinda na kuiheshimu katiba".

Sio huo uzushi unaoweka hapo juu.
 
Ndugu zangu watanzania wazalendo,

Kwa wale wanaofuatilia mwenendo wa maisha hapa nchini, mnaweza kukubaliana nami kuwa hakuna wakati ambapo suala la udini limeibuka waziwazi kama sasa chini ya uongozi wa kikwete. Hata wakati wa mzee mwinyi hali haikuwa hivi ukiondoa lile tukio la kuchoma moto bucha za nguruwe.

Jambo la kujiuliza ni je, kwa nini hali hii itokee sasa? Ukweli ni kwamba moja ya agenda ya kikwete katika uongozi wake ni eti kuwanyanyua waislam. Hilo limejidhihirisha wazi katika teuzi zake nyingi kwenye nafasi mbalimbali serikalini. Mfano mzuri tu, angalia balozi zeti nje ya nchi. Angalia mabalozi waliopo nchi tajiri za ulaya na asia na angalia nchi maskini hapa bara la afrika na asia. Utapata jibu.

Inasemekana hata suala la mahakama ya kadhi amewaambia waislam wenzie kuwa wakae kimya na kuwaahidi kuwa atalishughulikia kwa staili nyingine. Ndiyo maana sasa hivi halipigiwi kelele sana.

Ninachotaka watanzania wazalendo watambue ni kwamba tuna kiongozi mdini na hatari sana. Anachoongea jukwaani sicho kilichomo moyoni na wala sicho anachotenda. Muhimu ni kuomba Mungu amalize uongozi wake bila nchi kuingia ghasia za kidini. Vinginevyo, tunakoelekea ni hatari.

Hatua ya kuongelea suala la udini kwenye hotuba yake bungeni hivi karibuni kwamba ni mojawapo ya nyufa kubwa na hatari ni geresha tu ya kuwapumbaza wananchi ambao tayari wameanza kuwa na wasiwasi nae.
mhe mbona hutaji hao wakuu wa wilaya 103 wakristo na 23 waislamu mbona huongelei na hao wafanyakazi wanaofanya kazi kwa hizo mabalozi asilimia 90 ni nani?
 
Ndugu yangu wewe sasa ndio mdini kuliko Jk.
Mtu akisoma tu hii topic yako anajua kabisa kuwa haupo neutral bali unapendelea Ukristo.

Unaposema hata wakati wa Mwinyi hali haikuwa hivi bila kutaja awamu nyingine ambayo marais walikuwa ni wakristo ndipo unappojidhihirisha kuwa wewe umebez kwenye ukristo na ni mbaya kuliko huyo JK.
Eti ukiacha kasoro ya kuchoma bucha la nguruwe!!

Umesahau wakati wa Mkapa yalitokea mauaji ya waislamu pale Mwembe chai?

Hiyo sio kasoro ya udini? Au kwakuwa waliuawa waislamu?

Acha unafki na uchochezi.
Wewe ndiye mdini kuliko JK.

mkuu kumbe wafuasi na wanachama wote wa CUF ni waislamu?coz wale waliouawa Mwembe chai ni wanachama wa CUF da kweli CUF chama chama cha kiislam na wadini if so coz me nilijua waliouawa pale ni wanachama wa CUF tu na c waislamu.

  • :confused2:
 
Vilevile waelimishe kwamba wakiristo wa tanzania walikuwa wakishirikiana na wakoloni wakiiingereza katika
masuala yote ya utawala na kuhakikisha kuwa tanganyika haipati uhuru.Kwa ujinga wao walijua hivyo ndivyo
ilikuwa kuendeleza ukiristo. Mwalimu aliiona hiyo aibu kwa sababu yeye alishasoma mchezo na elimu alikuwa nayo.
Kwa mantiki hiyo ilibidi kuwakumbatia waislam ili kumwondoa mkoloni. Ngugu zangu, wakiristo ni wanafiki wakubwa katika nchi hii na sasa ndio wako mustari wa mbele kuvuna wasichokipanda.
Chadema ikifa hapa tanzania na mambo ya udini yatakwisha.Waislam tumieni wingi wenu kuikataa chadema.Nyinyi ndio wakombozi wa nchi hii ,mliopotea ruduni kwenye chama chenu chenye asili ya ukombozi. Na hata wanaoiharibu ccm ni hao hao wakiristo ambao siku zote wanataka kuvuna wasichopanda.Wachambueni ,wabakisheni wale wachache wenye roho za kibinaadam,wale wanyama wafukuzeni waende chadema hapo ndio makazi yao.

Nimeweza kupata nchi 10 tuu na mabalozi wetu huko kwenye mabano. Tanzania haina balozi katika nchi nyingi tuu za Ulaya.

1. Marekani (Mwanaidi Maajar)
2. Uingereza (Peter Kalaghe)
3. Japan (Salome Sijaona)
4. Italy (Ali Abeid Amani Karume)
5. Scandinavian (Mohamed Mzale)
6. Canada (Alex Massinda)
7. Germany (Ahmada Ngemera)
8. Australia (Didier Murcia)
9. China (Khalid S Mohamed)
10. Brazil (Francis Malambugi)

Simjui hata mmoja wa hao mabalozi hapo na wala sizijui dini zao. Lakini kama tukiamua kuendelea kufuata ujinga wetu wa kuamua dini ya mtu kwa kuangalia jina lake, basi utakuta hapo juu waislamu na wakiristo wapo 50%-50%.

Kwa mujibu wa CIA facts book kuhusu Tanzania, CIA wanasema kwamba watu wa Tanzania ni Muslims (35%); Christians (30%); Indigeneous belifs (35%). Kama takwimu hizi za CIA ni sahihi, basi wewe mkiristo unayelalamika kwamba JK anapendelea waislamu, fikiria tena. Natumaini kwamba wewe ni mtoto mdogo ambaye hujui unachokisema; lakini kama wewe ni mtu mzima isipokuwa ni mpumbavu tuu, basi upumbavu wako na watu kama wewe utaipeleka nchi pabaya.

ONYO.
Waislamu ndiyo waasisi wa nguvu zote za kisiasa zilizopigania uhuru nchi. Hivyo basi, kihistoria (Kwa wale wenye kujua umuhimu wa historia ) Waislamu wameshaonyesha kwamba wana uwezo wa kujipanga na kutimiza marengo yao. Wakiristo hawana historia hiyo katika nchi hii. Hivyo basi, kwa tabia yenu hii ya kupandikiza chuki za kidini, kuna siku moto.
 
Ndugu zangu watanzania wazalendo,

Kwa wale wanaofuatilia mwenendo wa maisha hapa nchini, mnaweza kukubaliana nami kuwa hakuna wakati ambapo suala la udini limeibuka waziwazi kama sasa chini ya uongozi wa kikwete. Hata wakati wa mzee mwinyi hali haikuwa hivi ukiondoa lile tukio la kuchoma moto bucha za nguruwe.

Jambo la kujiuliza ni je, kwa nini hali hii itokee sasa? Ukweli ni kwamba moja ya agenda ya kikwete katika uongozi wake ni eti kuwanyanyua waislam. Hilo limejidhihirisha wazi katika teuzi zake nyingi kwenye nafasi mbalimbali serikalini. Mfano mzuri tu, angalia balozi zeti nje ya nchi. Angalia mabalozi waliopo nchi tajiri za ulaya na asia na angalia nchi maskini hapa bara la afrika na asia. Utapata jibu.

Inasemekana hata suala la mahakama ya kadhi amewaambia waislam wenzie kuwa wakae kimya na kuwaahidi kuwa atalishughulikia kwa staili nyingine. Ndiyo maana sasa hivi halipigiwi kelele sana.

Ninachotaka watanzania wazalendo watambue ni kwamba tuna kiongozi mdini na hatari sana. Anachoongea jukwaani sicho kilichomo moyoni na wala sicho anachotenda. Muhimu ni kuomba Mungu amalize uongozi wake bila nchi kuingia ghasia za kidini. Vinginevyo, tunakoelekea ni hatari.

Hatua ya kuongelea suala la udini kwenye hotuba yake bungeni hivi karibuni kwamba ni mojawapo ya nyufa kubwa na hatari ni geresha tu ya kuwapumbaza wananchi ambao tayari wameanza kuwa na wasiwasi nae.

Unachomlaania jk ndio kilichopo moyoni mwako kwa aliesoma thread na kuielewa atajua nimemaanisha nn!
 
Ukwel mtupu
 
Asalaam aleykum wana bodi.
Sote humu ni mashahidi wakati wa kampeini mwaka 2010 Mgombea Urais wa Ticket ya CCM na wenzake wote walikuwa wanalia kuwa kuna chama kinachoendesha kampeini za Udini. na kwenye hotuba yake baada ya kuapishwa aliukemea kwa nguvu zote. Sote hapa ni mashahidi kuna aya moja kwenye Quran Tukufu inasema " Sema kweli ingawa inauma, sema kweli tupu hata kama unachinjwa." nami nasema ukweli inagawa inauma. Kwenye kampeini na baada ya kampeni Udini uliokuwa unasemwa ni dhidi ya Dr. Slaa na wakatoliki. Eti Rais wa mioyo ya Watanzania anapigiwa chapuo na Kanisa katoliki.

Kwa sasa nchi inazizima kwa vitendo vya ufunjifu wa utulivu(siwezi kusema kamwe tuna amani nina sababu za kusema hatuna amani - tuna utulivu) kutoka kwa makundi ya dini Kiislamu(Sio waislamu wote) dini ambayo haikutajwa na Kikwete wakati analia kupandikizwa mbegu ya Udini nchini.

maswali yangu ni haya:-
  1. Je, CCM baada ya kuhisi Chadema wanapigiwa upatu na Katoliki (Kama basi ni kweli) nao waliwafuata waislamu?
  2. Je. Matarajio waliowapa waislamu wameshindwa kuyatekeleza ndo maana Jambo dogo tu wanaharakati wa kiisamu wanalipuka na kuvunja sheria za nchi?
  3. Je Ule ujasiri waliokuwa nao CCM wakituhumu Kanisa kuwa linambeba Dr.Slaa umeishia wapi wakashindwa kuusimamia dhidi ya kina ponda na muamsho?
Mi nadhani the head of Gorvenment/CCM leaders are almost empty. Hawawezi kuongoza tena wanabaki kurukia rukia tu mambo mwisho siku wanatuingiza msituni na kuzalisha wakimbizi wa Kitanzania. Tuikataeni CCM kwa nguvu zote yani kama vile Sheikh na Kitimoto na Msabato na Kambale

Kelele za kikwete na udini 2010 hazikuwa na ukweli wowote, ilikuwa ni janja yake ya kupunguza kura za Dr. Slaa kwa waislamu na c vinginevyo! Itambue propaganda za ccm inapoona maji yamezidi unga! Hata cuf walisemwa kuwa wadini.
Ni vyema tukatambua neno udini na udini wenyewe vimechochewa sana na kikwete alivyokuwa anatafuta urais 2010 ili kutaka huruma za watz akaamua kumchafua Dr. Slaa kwamba anatumiwa na kanisa katoliki kitu ambacho hakikuwa na ukweli wowote!
 
Ndugu zangu watanzania wazalendo,

Kwa wale wanaofuatilia mwenendo wa maisha hapa nchini, mnaweza kukubaliana nami kuwa hakuna wakati ambapo suala la udini limeibuka waziwazi kama sasa chini ya uongozi wa kikwete. Hata wakati wa mzee mwinyi hali haikuwa hivi ukiondoa lile tukio la kuchoma moto bucha za nguruwe.

Jambo la kujiuliza ni je, kwa nini hali hii itokee sasa? Ukweli ni kwamba moja ya agenda ya kikwete katika uongozi wake ni eti kuwanyanyua waislam. Hilo limejidhihirisha wazi katika teuzi zake nyingi kwenye nafasi mbalimbali serikalini. Mfano mzuri tu, angalia balozi zeti nje ya nchi. Angalia mabalozi waliopo nchi tajiri za ulaya na asia na angalia nchi maskini hapa bara la afrika na asia. Utapata jibu.

Inasemekana hata suala la mahakama ya kadhi amewaambia waislam wenzie kuwa wakae kimya na kuwaahidi kuwa atalishughulikia kwa staili nyingine. Ndiyo maana sasa hivi halipigiwi kelele sana.

Ninachotaka watanzania wazalendo watambue ni kwamba tuna kiongozi mdini na hatari sana. Anachoongea jukwaani sicho kilichomo moyoni na wala sicho anachotenda. Muhimu ni kuomba Mungu amalize uongozi wake bila nchi kuingia ghasia za kidini. Vinginevyo, tunakoelekea ni hatari.

Hatua ya kuongelea suala la udini kwenye hotuba yake bungeni hivi karibuni kwamba ni mojawapo ya nyufa kubwa na hatari ni geresha tu ya kuwapumbaza wananchi ambao tayari wameanza kuwa na wasiwasi nae.

Sasa wewe ukitaka kikwete achague mabalozi maaskofu umeskia tuko vatican hapa??

Yaani makafiri mna chuki sana na waislamu nyinyi.

Mnajifanya enz za mwembechai mmesahau sio??

Subirini 2015 mumchague pengo aende ikulu.
 
Kelele za kikwete na udini 2010 hazikuwa na ukweli wowote, ilikuwa ni janja yake ya kupunguza kura za Dr. Slaa kwa waislamu na c vinginevyo! Itambue propaganda za ccm inapoona maji yamezidi unga! Hata cuf walisemwa kuwa wadini.
Ni vyema tukatambua neno udini na udini wenyewe vimechochewa sana na kikwete alivyokuwa anatafuta urais 2010 ili kutaka huruma za watz akaamua kumchafua Dr. Slaa kwamba anatumiwa na kanisa katoliki kitu ambacho hakikuwa na ukweli wowote!

Sasa kwani Slaa ni padre au sio padre??

Nani mwenye akili mbovu ampgie kura padre sasa??

Mfumo krsto huu uliopo tu ni laana then tuongeze na mwingine tena??

Never.

Chadema ni kigango cha kanisa tu full stop.
 
Slaa kuwahi kuwa padre vina uhusiano gani na udini? Unaelewa upadre ni nn? Aina za upadre unazijua? Binafc c mkatoliki lkn naelewa wakatoliki wana aina ngapi za jumuia, mapadre n.k! Ukiisema cdm na ccm iliyojaa wanec waislam tusemeje? Na idara nyingi nyeti mlizopewa na kikwete tusemeje?
 
Back
Top Bottom