Kikwete kuongelea ufa wa udini ni geresha tu

Kikwete kuongelea ufa wa udini ni geresha tu

Jk tangu aingie hajaacha kuwa zaidi ya mfanya vituko ila kituko chenyewe.
 
Ukwel mtupu

Nimeweza kupata nchi 10 tuu na mabalozi wetu huko kwenye mabano. Tanzania haina balozi katika nchi nyingi tuu za Ulaya.

1. Marekani (Mwanaidi Maajar)
2. Uingereza (Peter Kalaghe)
3. Japan (Salome Sijaona)
4. Italy (Ali Abeid Amani Karume)
5. Scandinavian (Mohamed Mzale)
6. Canada (Alex Massinda)
7. Germany (Ahmada Ngemera)
8. Australia (Didier Murcia)
9. China (Khalid S Mohamed)
10. Brazil (Francis Malambugi)

Simjui hata mmoja wa hao mabalozi hapo na wala sizijui dini zao. Lakini kama tukiamua kuendelea kufuata ujinga wetu wa kuamua dini ya mtu kwa kuangalia jina lake, basi utakuta hapo juu waislamu na wakiristo wapo 50%-50%.

Kwa mujibu wa CIA facts book kuhusu Tanzania, CIA wanasema kwamba watu wa Tanzania ni Muslims (35%); Christians (30%); Indigeneous belifs (35%). Kama takwimu hizi za CIA ni sahihi, basi wewe mkiristo unayelalamika kwamba JK anapendelea waislamu, fikiria tena. Natumaini kwamba wewe ni mtoto mdogo ambaye hujui unachokisema; lakini kama wewe ni mtu mzima isipokuwa ni -------- tuu, basi upumbavu wako na watu kama wewe utaipeleka nchi pabaya.

ONYO.
Waislamu ndiyo waasisi wa nguvu zote za kisiasa zilizopigania uhuru nchi. Hivyo basi, kihistoria (Kwa wale wenye kujua umuhimu wa historia ) Waislamu wameshaonyesha kwamba wana uwezo wa kujipanga na kutimiza marengo yao. Wakiristo hawana historia hiyo katika nchi hii. Hivyo basi, kwa tabia yenu hii ya kupandikiza chuki za kidini, kuna siku moto.

CIA unawajua au unawasiki toka kini kazi yao ikawa ni Takwimu Nchi lazima tukubali kuwa Wakristo wengi ndio wameenda shule ila ndio Waoga kuliko hata hao waislamu wachache waliokwenda shule. Mimi ni mkrsito ila nawapenda sana ndugu zangu waislamu hawa watu wanadamu ya uthubutu na pia wakionewa huwa hawafichi hisia zao. Mfano Angalia kule zanziber mwamko wa kudai haki na zanziber huru ni tofauti na mwamko wa watanganyika amabao wengi ni Wakristo sasa ukawa wanawategemea sana wazanziberi kuliko hata watanganyika kupata Tanganyika huru. Na nchi wala Rushwa na wanaoharibu nchi wengi ni Wakristo we angali masakata yote makubwa ya ubadhirifu wa pesa utakutana na akina YUDA angalia sakata za..... EPA.... IPTL...RICHMOND.... sioni kama Kikwete kuchagua mkristo au mwislamu ndio nchi itaendelea nchi itaendelea kama tutapata wazalendo wenye dhamira ya kweli wasio na unafiki au kutumikia tabaka la juu bali kutumikia watanzania wotee kwa usawa. Nchii hii utaendelea kama wananchi tutacha uwoga na kuwa na uthubutu wa kweli nchii hii tutaendelea kama hatutakakuwa na waongo kama MWINGULU NCHEMBA...NAPE NINAWIE..... Nchii tutaendelea tukiwa na watu majasiri Kama TUNDU LISSU. JOHN MNYIKA DK KINGWANGARA... JUSAA na wengine wengi na kubwa zaidi NCHI HII ITAENDELEA KWA KASI YA JUU KAMA CCM ITAONDOLEWA MADARAKANI KWA SABABU HATUWEZI KUISH KARNE YA 21 NA MAWAZO YA KARNE YA 19.
 
Back
Top Bottom