Kikwete kuongelea ufa wa udini ni geresha tu

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
0
Ndugu zangu watanzania wazalendo,

Kwa wale wanaofuatilia mwenendo wa maisha hapa nchini, mnaweza kukubaliana nami kuwa hakuna wakati ambapo suala la udini limeibuka waziwazi kama sasa chini ya uongozi wa kikwete. Hata wakati wa mzee mwinyi hali haikuwa hivi ukiondoa lile tukio la kuchoma moto bucha za nguruwe.

Jambo la kujiuliza ni je, kwa nini hali hii itokee sasa? Ukweli ni kwamba moja ya agenda ya kikwete katika uongozi wake ni eti kuwanyanyua waislam. Hilo limejidhihirisha wazi katika teuzi zake nyingi kwenye nafasi mbalimbali serikalini. Mfano mzuri tu, angalia balozi zeti nje ya nchi. Angalia mabalozi waliopo nchi tajiri za ulaya na asia na angalia nchi maskini hapa bara la afrika na asia. Utapata jibu.

Inasemekana hata suala la mahakama ya kadhi amewaambia waislam wenzie kuwa wakae kimya na kuwaahidi kuwa atalishughulikia kwa staili nyingine. Ndiyo maana sasa hivi halipigiwi kelele sana.

Ninachotaka watanzania wazalendo watambue ni kwamba tuna kiongozi mdini na hatari sana. Anachoongea jukwaani sicho kilichomo moyoni na wala sicho anachotenda. Muhimu ni kuomba Mungu amalize uongozi wake bila nchi kuingia ghasia za kidini. Vinginevyo, tunakoelekea ni hatari.

Hatua ya kuongelea suala la udini kwenye hotuba yake bungeni hivi karibuni kwamba ni mojawapo ya nyufa kubwa na hatari ni geresha tu ya kuwapumbaza wananchi ambao tayari wameanza kuwa na wasiwasi nae.
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,958
2,000
Ndugu yangu wewe sasa ndio mdini kuliko Jk.
Mtu akisoma tu hii topic yako anajua kabisa kuwa haupo neutral bali unapendelea Ukristo.

Unaposema hata wakati wa Mwinyi hali haikuwa hivi bila kutaja awamu nyingine ambayo marais walikuwa ni wakristo ndipo unappojidhihirisha kuwa wewe umebez kwenye ukristo na ni mbaya kuliko huyo JK.
Eti ukiacha kasoro ya kuchoma bucha la nguruwe!!

Umesahau wakati wa Mkapa yalitokea mauaji ya waislamu pale Mwembe chai?

Hiyo sio kasoro ya udini? Au kwakuwa waliuawa waislamu?

Acha unafki na uchochezi.
Wewe ndiye mdini kuliko JK.
 
Al_mekhboub

Member
Nov 16, 2010
24
0
Nimeweza kupata nchi 10 tuu na mabalozi wetu huko kwenye mabano. Tanzania haina balozi katika nchi nyingi tuu za Ulaya.

1. Marekani (Mwanaidi Maajar)
2. Uingereza (Peter Kalaghe)
3. Japan (Salome Sijaona)
4. Italy (Ali Abeid Amani Karume)
5. Scandinavian (Mohamed Mzale)
6. Canada (Alex Massinda)
7. Germany (Ahmada Ngemera)
8. Australia (Didier Murcia)
9. China (Khalid S Mohamed)
10. Brazil (Francis Malambugi)

Simjui hata mmoja wa hao mabalozi hapo na wala sizijui dini zao. Lakini kama tukiamua kuendelea kufuata ujinga wetu wa kuamua dini ya mtu kwa kuangalia jina lake, basi utakuta hapo juu waislamu na wakiristo wapo 50%-50%.

Kwa mujibu wa CIA facts book kuhusu Tanzania, CIA wanasema kwamba watu wa Tanzania ni Muslims (35%); Christians (30%); Indigeneous belifs (35%). Kama takwimu hizi za CIA ni sahihi, basi wewe mkiristo unayelalamika kwamba JK anapendelea waislamu, fikiria tena. Natumaini kwamba wewe ni mtoto mdogo ambaye hujui unachokisema; lakini kama wewe ni mtu mzima isipokuwa ni mpumbavu tuu, basi upumbavu wako na watu kama wewe utaipeleka nchi pabaya.

ONYO.
Waislamu ndiyo waasisi wa nguvu zote za kisiasa zilizopigania uhuru nchi. Hivyo basi, kihistoria (Kwa wale wenye kujua umuhimu wa historia ) Waislamu wameshaonyesha kwamba wana uwezo wa kujipanga na kutimiza marengo yao. Wakiristo hawana historia hiyo katika nchi hii. Hivyo basi, kwa tabia yenu hii ya kupandikiza chuki za kidini, kuna siku moto.
 
Ondoa hasira zako unapo-argue na greate thinkers. Ningeheshimu sana maoni yako endapo usingeonyesha dalili yoyote ya udini na endapo usingetumia lugha chafu. Nakushauri upige mswaki uende msikitini ukamwombe mnyezi mungu akusafishe ubongo wako akianza na kinywa chako. Kwa maneno hayo nahisi hata nzi hawachezi mbali nawe.
 
Great thinker eenh! Mimi nitapika mswaki wa kinywa, lakini nitakapokupiga wewe mswaki wa akili, it will be too late on your side. Narudia, utakapowaka you know who will prevail and who perish, don't you?
 
Al_mekhboub

Member
Nov 16, 2010
24
0
crying foul non stop..."oooh tunaonewa, eeeh anapendelea waislam, angalia mabalozi wote wa nchi tajiri" Great thinker anaongea mambo bila ya kuweka uthibitisho hata mmoja.
You keep telling it, we shall show it.
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,598
2,000
One can tell, ile gawanyiko ya dini... sasa iko mahali yake na itabidi tuhamishe watoto sasa wasije uana bure

and then we boast that we have good leadership and we strive through peace and harmony

i dont see that really
 
Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
0
crying foul non stop..."oooh tunaonewa, eeeh anapendelea waislam, angalia mabalozi wote wa nchi tajiri" Great thinker anaongea mambo bila ya kuweka uthibitisho hata mmoja.
You keep telling it, we shall show it.

Subiri 2015 kama hamtaanza kuongea kwa kutumia pua. Utayaona tu labda uhamie afghanistan au pakistan.
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,150
2,000
ONYO.
Waislamu ndiyo waasisi wa nguvu zote za kisiasa zilizopigania uhuru nchi. Hivyo basi, kihistoria (Kwa wale wenye kujua umuhimu wa historia ) Waislamu wameshaonyesha kwamba wana uwezo wa kujipanga na kutimiza marengo yao. Wakiristo hawana historia hiyo katika nchi hii. Hivyo basi, kwa tabia yenu hii ya kupandikiza chuki za kidini, kuna siku moto.
Imani ya Kikristo haina misingi ya kupandikiza chuki! Hapa umeamua kuonyesha uwezo wako duni wa kuchanganua masuala ya kiimani! Tanzania hakuna nyufa za udini ila kuna watu wachache wanataka kutumia mamlaka zao kuleta hasama za kidini. Wasiwasi wangu ni kuwa kama wameshindwa kuondoa ufisadi na rushwa waliyoipanda wenyewe. Je wataweza kuepuka huu udini wanaouanzisha kwa maslahi yao?
 
Al_mekhboub

Member
Nov 16, 2010
24
0
Subiri 2015 kama hamtaanza kuongea kwa kutumia pua. Utayaona tu labda uhamie afghanistan au pakistan.
Endeleeni kusubiri mpaka 2015 tuu. Sisi tushaanza long time na ikifika hiyo 2015 hizo njia zenu zilizofunguliwa na padri utotoni tutazipanua.

Tanzania nyufa za kidini zipo na zimeletwa na wakiristo.
Na moto yakhe lazima uwake, na tutaona nani atakayehama nchi.
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,598
2,000
Endeleeni kusubiri mpaka 2015 tuu. Sisi tushaanza long time na ikifika hiyo 2015 hizo njia zenu zilizofunguliwa na padri utotoni tutazipanua.

Tanzania nyufa za kidini zipo na zimeletwa na wakiristo.
Na moto yakhe lazima uwake, na tutaona nani atakayehama nchi.
Mkuu inaonekana umepania kweli kuua mtu.. hebu kama jogoo chinja ule uishie kazini

BTW, ulichosema ni ukweli na nashukuru at least wee umekua brave kuyasema, nilikua pahi mwezi uliopita na waislamu wa kule walisema hayahaya uliyosema... meaning kwamba wakati watu wamekaa wanalalama, waislamu kote nchini wanajiandaa na vita ya kuhamisha wakristu wote kwa jihad... hata nilipokua pale arusha ule msikiti maarufu wa mujahiddin mbauda niliyapata hayohayo... babati nao wanasema hivyohivyo

You might be right buddy

Mko juu aisee
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,774
2,000
Ondoa hasira zako unapo-argue na greate thinkers. Ningeheshimu sana maoni yako endapo usingeonyesha dalili yoyote ya udini na endapo usingetumia lugha chafu. Nakushauri upige mswaki uende msikitini ukamwombe mnyezi mungu akusafishe ubongo wako akianza na kinywa chako. Kwa maneno hayo nahisi hata nzi hawachezi mbali nawe.

woooh!!!
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,774
2,000
Kwa mujibu wa CIA facts book kuhusu Tanzania, CIA wanasema kwamba watu wa Tanzania ni Muslims (35%); Christians (30%); Indigeneous belifs (35%).

unaonekana you are just enslaved na CIA. hizo data kama ni kwa magomeni sawa. Lakini kama ni kwa nchi nzima?>>>>it is a big lie. Asiyetembea na kuijua nchi ndiye anayeweza kuamini upupu huo. Unaamini kabisa indigenous beliefs (makabila ya maporini)wana contribute 35% ya population ya Tanzania?

I can only agree kuwa aliyewapa CIA data hiyo alitaka ku-justify establishment ya mahakama ya kadhi.
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,152
2,000
jamani tutafika wapi kama tukianza kugombana sisi kwa sisi...
ni sawa kama tukigombana kuhusu CCM na Chadema na vyama vingine..
na si sawa kabisa tukianza kugombana kuhusu Waslam na wa Kristo....
jamani kwani hamuoni jinsi familia zetu zilivyo changanyana..
acheni kurudi nyuma jamani mambo ya Mwinyi na Mkapa yameshapita..
tuangalieni ya sasa... Bado tunaumasikini wakupigana nao....
Tukianza kugombana wenyewe tutaumaliaza huu umaskini kweli au utaongezeka???
Tufukirie kabla hatujaanza kutapika maneno ambayo hayana msingi kabisa....
Tanzania ni ya watanzania wa dini zote.......
 
sensa

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
397
195
Huu ni upuuzi badala ya kujadili viini vya matatizo ya kidini naona hapa mnachochea uadui wa kidini.Ni kweli hisia za kidini huwa zinakuwepo na si kwa sababu za kidini,bali kama kundi katika jamii liloachwa nyuma kimaendeleo kama mtakumbuka wakati elimu inaanza TZ ililetwa na wamissionari hivyo wakristu wengi wakawa wamesoma wa kwanza na kupata vyeo hivyo hivyo.Lakini sasa tanzania kama tz juhudi zilishafanyika nyingi kuyaendeleza makundi yalyokuwa yamechwa nyuma,mfano sas hivi kuna ukombozi wa wanawake pia ni kundi lililokuwa liko nyuma kwa sababu za mila zetu.Hivyo swala la kidini naomba liongelewe kwa makini,ni sio upuuzi wa kupandikiza chuki.Ikibidi mod andoa hii mada
 
mchakachuaji1

Senior Member
Nov 4, 2010
104
195
Nimeweza kupata nchi 10 tuu na mabalozi wetu huko kwenye mabano. Tanzania haina balozi katika nchi nyingi tuu za Ulaya.

1. Marekani (Mwanaidi Maajar)
2. Uingereza (Peter Kalaghe)
3. Japan (Salome Sijaona)
4. Italy (Ali Abeid Amani Karume)
5. Scandinavian (Mohamed Mzale)
6. Canada (Alex Massinda)
7. Germany (Ahmada Ngemera)
8. Australia (Didier Murcia)
9. China (Khalid S Mohamed)
10. Brazil (Francis Malambugi)

Simjui hata mmoja wa hao mabalozi hapo na wala sizijui dini zao. Lakini kama tukiamua kuendelea kufuata ujinga wetu wa kuamua dini ya mtu kwa kuangalia jina lake, basi utakuta hapo juu waislamu na wakiristo wapo 50%-50%.

Kwa mujibu wa CIA facts book kuhusu Tanzania, CIA wanasema kwamba watu wa Tanzania ni Muslims (35%); Christians (30%); Indigeneous belifs (35%). Kama takwimu hizi za CIA ni sahihi, basi wewe mkiristo unayelalamika kwamba JK anapendelea waislamu, fikiria tena. Natumaini kwamba wewe ni mtoto mdogo ambaye hujui unachokisema; lakini kama wewe ni mtu mzima isipokuwa ni mpumbavu tuu, basi upumbavu wako na watu kama wewe utaipeleka nchi pabaya.

ONYO.
Waislamu ndiyo waasisi wa nguvu zote za kisiasa zilizopigania uhuru nchi. Hivyo basi, kihistoria (Kwa wale wenye kujua umuhimu wa historia ) Waislamu wameshaonyesha kwamba wana uwezo wa kujipanga na kutimiza marengo yao. Wakiristo hawana historia hiyo katika nchi hii. Hivyo basi, kwa tabia yenu hii ya kupandikiza chuki za kidini, kuna siku moto.

Ni moto gani utakaowaka? Acha upumbavu humu ndani ya JF, labda huo moto ukauwashe kwa mkeo na pia hujalazimishwa kuchangia hoja kama una mihasira yako peleka huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa na chuma ulete.
 
Emasa

Member
Nov 14, 2008
38
95
Action speaks louder than words, Matendo yake ni dhahiri maneno ni porojo tu kuwafumba watu macho nionavyo kuna Mheshimiwa ana agenda binafsi hata kama watu watakubali au watakaa ukweli uko wazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom