Kikwete kuonana na otomolo......mgomo wa madaktari

Wadau nimesoma kwenye mitandao kuwa jk ataonana na muigizaji otomolo kutoka nigeria....mimi nadhani kwa hili tishio la mgomo wa madaktari bora anggeonana na madaktari kuliko huyo mwanamama ...wadau mnasemaje???

Huyu anaweza,si ni msanii mwenzie,hapo anataka picha tu!
 
Halafu amejazia kiukweli. Usipokaa chonjo ukimtizama unaweza toa ulimi nje!! Social affairs, top priority, it is more than doctors saga!!! health wellfare!!! Toba!!
 
Huyu hapa akiwa na Wema walipokwenda kumpokea airport!!! Mastaa!! Sijui naye kule kwao ni jalamba kama WEMA!!!!
 
Du, lakini huyu mtto analipa! Kwa hapa naamini hatanyesha udhaifu
pic_8458.jpg
 
Hayo wakitoka Airport kuelekea garini aliloandaliwa na mastaa wa Bongo a.k.a vicheche!! Huyo ndo mgeni wetu wa state akiambatana na Wema ambao hearsays zinasema wana invitation kule kweupe!!! Ha ha ha ha
 
Uzalilishaji wa kiti cha urais kama kweli jk atafanya hivo. Ndugai unayasikia haya pamoja na lukuvi.
 
Ataonana naye wapi, Nigeria au hapa Bongo?

Yuko Bongo Mkuu, nafikiri amefika jana usiku!! or during week end or so. But she is around and expected to visit the state house with WEMA!!!!! Anyway ngoja tusubiri press release ya Salva maana ya madaktari kugoma sijasikia!!! Na vile vijembe walivyopigwa katika mkutano wa wazee last time nafikiri safari hii watakomelea kabisa!!! I tell you mwalimu na medical or healthe practioner si wa kuchezea, handle them with due care!!
 
Madaktari wenyewe wanakataana na hivi ni sababu gani kumtishia nyau Rais wetu?
Acheni wagome dawa yao.ipo kwani wanaona heri wagonjwa wafe ili matakwa yao yafikiwe
Madaktari tuwasomeshe wenyewe na haohao watuue kisa nyongeza ya posho na gari?

ina maana hawajakopeshwa na bodi ya mikopo???si wana madeni???umewasomeshaje???hivi ndo mnatudanganya huku mitaan
 
Madaktari wenyewe wanakataana na hivi ni sababu gani kumtishia nyau Rais wetu?
Acheni wagome dawa yao.ipo kwani wanaona heri wagonjwa wafe ili matakwa yao yafikiwe
Madaktari tuwasomeshe wenyewe na haohao watuue kisa nyongeza ya posho na gari?
hongera kwa kusomesha mkuu!hata mimi namsomesha mtoto wa jk huko ughaibuni.
 
sioni tatizo... Raisi nae anahitaji furahi... kupunguza stress za li inji hili ligumu.
 
Madaktari wenyewe wanakataana na hivi ni sababu gani kumtishia nyau Rais wetu?
Acheni wagome dawa yao.ipo kwani wanaona heri wagonjwa wafe ili matakwa yao yafikiwe
Madaktari tuwasomeshe wenyewe na haohao watuue kisa nyongeza ya posho na gari?

wacha mchezo na pcb/cbg+medicine
 
Wadau nimesoma kwenye mitandao kuwa jk ataonana na muigizaji otomolo kutoka nigeria....mimi nadhani kwa hili tishio la mgomo wa madaktari bora anggeonana na madaktari kuliko huyo mwanamama ...wadau mnasemaje???

Yeye akipata mafua sii atakimbilia India? Kwa nini mgomo wa madaktari umwogopeshe? Tanzania imebaki kuwa nchi ya walala hoi ambao hawawezi kukimbilia mbali. We can only cry from our homes. The day is coming though when we will all board the train and go to India for our treatments. Go doctors! I am behind you. Strike until all the govenment leaders end their Indian trips and go to our hospitals.
 
labda hapahapa bongo coz mdada yupo kwa mwaliko maalum kutoka kwa msanii mwenzie wema sepetu.
DEMBA huyu mdada mimi namkubali sana kwa sinema zake. Huenda nami nikaenda kukutana naye!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom