Kikwete kumuomba msamaha Prof. Tibaijuka

Joined
Jan 23, 2015
Posts
15
Reaction score
8
Ni kupitia wimbo wake mpya unaenda kwa jina la "Njoo uchukue" wimbo ambao umebeba salamu toka kwa Mrisho Mpoto kwenda kwa mjomba(JK). Katika wimbo huo Mrisho Mpoto amemtaka JK kumuomba samahani Prof Tibaijuka kutokana na kauli zake zilizopelekea mama Tibaijuka kupoteza nafasi yake ya uwaziri.

"Hapo sasa umefika vipi bado unaitaka na ya kwangu
ikuongezee ushindi kama ndio nina masharti mawili

Pitia kwa yule mama ukamuombe samahani
na umpe pole kwa sababu kwa kauli zako alipoteza kitanda chake.

Ili ni ombi langu
kutoka kwangu kuja kwako"

Last edited by a moderator:
Ni kupitia wimbo wake mpya unaenda kwa jina la "Njoo uchukue" wimbo ambao umebeba salamu toka kwa Mrisho Mpoto kwenda kwa mjomba(JK). Katika wimbo huo Mrisho Mpoto amemtaka JK kumuomba samahani Prof Tibaijuka kutokana na kauli zake zilizopelekea mama Tibaijuka kupoteza nafasi yake ya uwaziri.<br>

"Hapo sasa umefika vipi bado unaitaka na ya kwangu
ikuongezee ushindi kama ndio nina masharti mawili

Pitia kwa yule mama ukamuombe samahani
na umpe pole kwa sababu kwa kauli zako alipoteza kitanda chake.

Ili ni ombi langu kutoka kwangu kuja kwako"

Last edited by a moderator:
Hivi ni kitanda? ama Kichanga? au mie sijausikia vizuri huo wimbo?????
 
Ni kupitia wimbo wake mpya unaenda kwa jina la "Njoo uchukue" wimbo ambao umebeba salamu toka kwa Mrisho Mpoto kwenda kwa mjomba(JK). Katika wimbo huo Mrisho Mpoto amemtaka JK kumuomba samahani Prof Tibaijuka kutokana na kauli zake zilizopelekea mama Tibaijuka kupoteza nafasi yake ya uwaziri.<br>

"Hapo sasa umefika vipi bado unaitaka na ya kwangu
ikuongezee ushindi kama ndio nina masharti mawili

Pitia kwa yule mama ukamuombe samahani
na umpe pole kwa sababu kwa kauli zako alipoteza kitanda chake.

Ili ni ombi langu kutoka kwangu kuja kwako"

Hii ni mash-up iliyofanyika hapa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom