Kikwete kosa kubwa ni kumpa Magufuli chama, utanikumbuka

Mshauri mkuu wa Rais Mh Bulembo , amependekeza watu kama wewe watimuliwe kwenye chama haraka iwezekanavyo , taarifa zaidi zinadokeza kwamba ushauri huo umepokelewa .
 
wapinzani wanatetemeka wakimwona JPM wnatetemeka historia ya kitu kuijua unaweza kesha usiku mmoja tu ukajua ila moyo wa dhati wa kufanya kazi sio kila mtu anao.
 
Mkuu sina shaka na ccm kupeana pasi za uongozi, tatizo ni kwamba tunaempa pasi leo hii ni mgeni kila idara, anadhani mmaendeleo ni kuondoa ufisadi tu.
Magufuli hana dira yakulipeleka taifa anapotaka, bado anabahatisha njiaa akitegemea atafikaa.
Mbaya zaid wengi wanaona anapotea lkn hakuna wakumwambiaa

Kiongozi gani aliyefanikiwa kupeleka Tanzania inapotakiwa? Taja hata moja. Huyo unayetaka abaki na chama alilipeleka taifa popote ktk miaka yake 10? Magufuli apewe chama ili adhihirishe kipaji chake cha uongozi serikalini na chamani.
 
Kiongozi gani aliyefanikiwa kupeleka Tanzania inapotakiwa? Taja hata moja. Huyo unayetaka abaki na chama alilipeleka taifa popote ktk miaka yake 10? Magufuli apewe chama ili adhihirishe kipaji chake cha uongozi serikalini na chamani.
Kabisa mkuu umenena jambo la mnolea sana. Magifuli anahitaji full authority ili asafishe chama na serekali
 
Mimi ningependa JPM asipewe chama ili awashughulikie wadokozi vizuri. Hii mivyama ni mizigo. Ndio chaka la kujificha wapiga deal.. Ajitenge nao ili asiwaonee aibu
 
Kumbe kuna makundi ndani ya chama cha maslahi?
1:kundi maslahi
2:........................?
Hivi ndugu Mmawia unadhani wanachama wote waliopo CCM na hata kwenye vyama vya upinzani wamesukumwa na wito wa kuwatumikia wananchi?
 
Bado nafikiria tu, kwa akili ya kawaida Jakaya Kikwete anamkabidhi vipi Joseph Pombe Magufuli chama? Yaani sababu kubwa ni kwamba eti ni utaratibu toka mwanzo?Pamoja na jinsi JPM anaongoza nchi kwa utaratibu huu bado Jakaya Kikwete haoni tu?

Tunampa vipi mtu chama wakati hata jukumu la nchi tulilompa bado ni shida? Yaani kila siku yeye anajifunza tu. Chama ni zaidi ya serikali, chama ni mama, Serikali ni mtoto wa chama, na Serikali huongoza kupitia chama.

Bado naendelea kuvuta picha, yaani haingii akilini kabisa kumpa mtu chama ambaye hujui hata historia yake. Nina hakika ukimwuliza Magufuli akutajie makatibu wakuu wa 5 wa chama waliopita hatoweza, hata taratibu nyingi cha chama hazijui.

Please JK just be serious, dont make a mistake. Be strong, lead the party until you find its the right time for Magufuli
Wewe ni shetani kama lilivyo jina lako. Jk tumemchoka. Katuharibia sana nchi yetu. Yawezekana wewe ni miongoni mwa wale walio faidika na mfumo wa Jk. We need changes. Tunataka chama kirudi kwa masikini kama zamani
 
Siyo bure ukajiita Ibilisi, mdhambi mkubwa sana wewe!
CCM imekuwa ikipasiana vijiti vya uongozi wa chama toka kuondoka kwa Mwalimu.

Nyie mnaokula nyuma ya migongo ya wengine mnajidhalilisha!

Katiba ya CCM inasema kutakuwa kuna kupasiana uenyekiti eeeh!
 
Back
Top Bottom