Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

Hii sinema inaelekea episode za mwisho mwisho. Na utabiri wangu ni kuwa pamoja na harufu za damu za wenye kuhisi kumiliki chama; pia CDM itakumbwa na mtikisiko mwingine mkubwa kupiti viongozi wake wa juu. Zitto na Mbowe watakuwa upande mmoja kupokea misaada ya EL na genge lake huku wakimficha Dr. Slaa. Dr. Slaa ataishia kupewa mabomu akalipue huku "wakuu" wakinufaika na kutoa makazi na uwanja wa kurushia makombora kuelekea ccm. Haya ni maono yangu tu!

Hii hapa chini Raia Mwema wamehemea hapo juu

CHADEMA yakana kubeba mafisadi

"Taarifa zinasema katika moja ya sura za mkakati huo, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa, anatajwa kutumiwa bila kujua na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya CHADEMA, walio karibu na Lowassa, kutekeleza malengo ya watuhumiwa hao wa CCM."
 
Mkuu vipi mbona unajijibu mwenyewe hapo juu?..

Hata hivyo hawa CCM hawana pa kutokea kwa sababu list of Shame ya Dr.Slaa inajulikana na inawajumuisha JK na watu wengine kibao, sasa kama CCM kweli inajivua gamba kutokana na tuhuma hasa wakitumia list of shame iweje wamechukua tu baadhi ya watu na kuwaacha wengine?..

Kibinaadam ni ukweli usiopingika kwamba CDM na Dr.Slaa wanatakiwa kumwacha JK aifanye kazi yake ya kusafisha chama lakini kisiasa usafi huu haiwahusu wao kwani usafi huu unafanyika ndani ya chama ambacho kina mafisadi kibao na madhara yake yanatufikia sisi wananchi. Mtazamo wa CDM na Dr.Slaa ni mafisadi wanaodhuru uchumi wetu na wananchi kwa ujumla na sii kukiponza chama na utawala wa JK.

Sasa pengine Dr.Slaa anawasaidia CCM kujua zaidi mafisadi waliojificha kwani kuwaondoa RACHEL haiwezi kupunguza kunguni wanaozaana ndani ya chama na sii busara sisi wananchi kushabikia maneno ya kina Chiligati wakati hawa kunguni wanatutafuna sisi.
 
Kama kuna sababu yoyote inayowatia shaka CCM juu ya nguvu ya Lowasa, Chenge, na RA basi hakuna kingine zaidi ya upuuzi. Mwenyekiti wao ndo Rais wa nchi. Kweli anaamini wanaweza kumutikisa?

Hawa wote ni watu ambao wakitemwa, kesho yake presha yao haitarudi nyuma hata kwa Kikombe cha BABU. Na huenda hata hiyo 2015 hawataiona.

Hapo CCM tatizo kubwa ni huyo Mwenyekiti wao. Na kwa mtindo huo atawaponza wenzake. 'U-ndumila kuwili'. Wakikubaliana haya, yeye usiku wa manane anajadili na hao hao anaowaita ma-swahiba wake. Ndiyo maana tunawaona hawana wasi wasi na adhabu iliyopangwa.
 
Kati ya kambi ya Kikwete (Pwani Academia) na Lowassa et al nani atatangulia kumtia mwenzake jino na anayo sumu zaidi ya gamba nene kiasi cha kummaliza mwenzie haraka????????????????
 
Kuwatosa hao big three kwa CCM ni kama kunya mavi na kuyakalia. Nasema hapo CCM wamekunya na kuyakalia kwa sababu, those guys ndio wamekuwa engineers wa mambo mengi machafu yaliyoisaidia CCM kufanikisha mambo kadhaa kama vile wizi wa fedha za serikali kufanikisha uchaguzi na pia kucheza rafu nyingine nyingi ndani ya serikali kwa manufaa ya serikali ya CCM.

Lakini juu ya yote kwa namna ninavyowafahamu hawa jamaa watatu ni watu wa visasi na ni watu wanaopenda ushindani na ubishi na hivyo watahakikisha CCM inataabika kuliko na hasa kwa hili suala alilolisema mjumbe hapo juu "mchezo wa kumwaga mboga". Hawa jamaa nakwambia watamwaga mboga, wait you will see!

Watamwaga mboga kwa sababu wanazo siri nyingi nzito na mambo mengi machafu yaliyofanywa na JK na chama chake.
 
Mungu amejibu maombi ya Watanzania ya kuuangamiza ufisadi na uhujumu uchumi wa nchi yetu. Sasa watapetape tuu lakini mafisadi na waroho wa madaraka mwisho wao umefika.
 
Nimeipenda hiyo. Kitufe cha 'THANKS' iko wapi???? Anyway, kula tano.

Kuwatosa hao big three kwa CCM ni kama kunya mavi na kuyakalia. Nasema hapo CCM wamekunya na kuyakalia kwa sababu, those guys ndio wamekuwa engineers wa mambo mengi machafu yaliyoisaidia CCM kufanikisha mambo kadhaa kama vile wizi wa fedha za serikali kufanikisha uchaguzi na pia kucheza rafu nyingine nyingi ndani ya serikali kwa manufaa ya serikali ya CCM.

Lakini juu ya yote kwa namna ninavyowafahamu hawa jamaa watatu ni watu wa visasi na ni watu wanaopenda ushindani na ubishi na hivyo watahakikisha CCM inataabika kuliko na hasa kwa hili suala alilolisema mjumbe hapo juu "mchezo wa kumwaga mboga". Hawa jamaa nakwambia watamwaga mboga, wait you will see!

Watamwaga mboga kwa sababu wanazo siri nyingi nzito na mambo mengi machafu yaliyofanywa na JK na chama chake.
 
wana jf hoja nyingi hapa ni kjadili figures badala ya issues! vyama vya siasa vinaongozwa na watu na tusijetarajia maajabu ya kitume. ccm haipo sahihi sana isipokuwa ni nafuu kimfumo kuliko vyama vilivyosalia.chaga development manifesto inazungumzia ustawi wa jina husika. mimi nafuatilia kwa karibu chaguzi ndani ya vyama hivi vya siasa kwa sababu ndipo mahali pa kujua haki na demokrasia inatendekaje kwa tunaotarajia kuwakabidhi madaraka makubwa ya kuongoza nchi! mambo huko ni ya ovyo hayafai kusimulia.kwenye bunge viongozi wamekwenda na wake zao,dada zao katika ubunge wa viti maalum nk huo ni ufisadi wa madaraka.tungetarajia kwa vyama ambavyo vimejipanga kutoa ushindani kwa ccm vionyeshe angalau ukomavu kwenye mfumo wao wa upatikanaji wa viongozi! kuongoza nchi na kukabidhiwa dola siyo kazi ya kucheza disco na kufanya matambiko!umaarufu wa hao jamaa haupo bila madaraka yawe ya chama au serikali. hata hao wapambe watawakwepa
hivi wewe kwa kuongea hivi unawasaidia vipi ndugu zako wa dodoma, singida, tabora, nzega, isevya, shinyanga, kahama, na ngwanza, musoma na kagera , karagwe nk ? hivi unaona wamepiga kweli hatua ili waweze kupampana na changa moto za sasa au wewe ndio chifu wao na kwa kuwa unakula basi wao wote wana kula na wewe. hizi ndizo akili za watu wa ngwanza, tobola na shinyanga.
nduguyo shenge alikula nao leo hii hana thamani tena, hiyo ndio chiacha ya ccn, sijui hapo tobola mepewa lage akaiba cde, na fati lakini muone mumuongeze, koboya naye na prof kupaya wakauza reli ili kuwalete maendeleo? hivi mtaacha lini kukubali shanga wakati mamilioni yana bebwa?
 
wana jf hoja nyingi hapa ni kjadili figures badala ya issues! vyama vya siasa vinaongozwa na watu na tusijetarajia maajabu ya kitume. ccm haipo sahihi sana isipokuwa ni nafuu kimfumo kuliko vyama vilivyosalia.chaga development manifesto inazungumzia ustawi wa jina husika. mimi nafuatilia kwa karibu chaguzi ndani ya vyama hivi vya siasa kwa sababu ndipo mahali pa kujua haki na demokrasia inatendekaje kwa tunaotarajia kuwakabidhi madaraka makubwa ya kuongoza nchi! mambo huko ni ya ovyo hayafai kusimulia.kwenye bunge viongozi wamekwenda na wake zao,dada zao katika ubunge wa viti maalum nk huo ni ufisadi wa madaraka.tungetarajia kwa vyama ambavyo vimejipanga kutoa ushindani kwa ccm vionyeshe angalau ukomavu kwenye mfumo wao wa upatikanaji wa viongozi! kuongoza nchi na kukabidhiwa dola siyo kazi ya kucheza disco na kufanya matambiko!umaarufu wa hao jamaa haupo bila madaraka yawe ya chama au serikali. hata hao wapambe watawakwepa

Ushiriki wako ungekuwa mzuri na ukawa mwanafunzi mzuri, mawazo kama haya usingeyaweka hapa. Mengi yalishajadiliwa.
Ukomavu wa kisiasa unaupimaje?

Vipi CCM iliyo na miaka zaidi ya 30 inaonyesha ukomavu? Hebu iongezee miaka ya TANU maana wengi wao walikuwa TANU, Vipi, wayatendayo ni ukomavu. Wameweza kutupatia kiongozi mzuri wa nchi?
Ukimulinganisha na kijana Kabila waweza sema wa kwetu kakomaa?

Taabu kweli-kweli!
 
Kwa kuwa barua za CCM ndizo hizo zinasadikiwa kufikishwa kwa walengwa wa mambo ya UFISADI ninayoichuki kuf, ndio tuseme la kwanza kuuma tayari limefanya kazi hivyo tusubiri tu kuona mwenye kupigwa meno jinsi naye atakavyojirudishia kulingana na hii makala????????
 
Lowassa na wafuasi wake kiama chao kimefika japo hawana macho ya kuona na bongo zao zatazama zaidi urais wa 2015.
mlio karibu nao waambieni kwani waazidi poteza nguvu na resourses bure kwa jambo litakaloshindwa.

wewe ndiye .......... wa lowassa wa Benki kuu ambaye kwenu ni Bukoba?
 
Back
Top Bottom