Hivi Kikwete kwanini anaogopa kuwataja mafisadi wakati anawajua mzigo anauangusha kwa wenzake huo mkutano ulikuwa wa kindfiki tu.
Mabula ndg yangu unalidhika tuendelee na hawa mafisadi watumalize kabisa?????????Watoto wa hao mafisadi wanajenga maghorofa ya floor kumi na zaidi katika miji mbali, pamoja na kununua majumba ya nguvu maeneo kama Leicester London mitaa ya malord. Wewe huna huruma kabisa na nduguzo kuendelea kuwa hohe hahe chini ya utawala wa kifisadi huu?????????? Amka ndg hata kama umefanya research ya vyama lakini kinacho endelea Tanzania ni Mungu atuokoe. Hawa jamaa macho makavu bila aibu watutumaliza, ngoma wamerithishwa watoto mtacheza mpende msipende!!!!! Tujikomboe ndg yangu wakati ni huu!!!!!!!!!!!wana jf hoja nyingi hapa ni kjadili figures badala ya issues! vyama vya siasa vinaongozwa na watu na tusijetarajia maajabu ya kitume. ccm haipo sahihi sana isipokuwa ni nafuu kimfumo kuliko vyama vilivyosalia.chaga development manifesto inazungumzia ustawi wa jina husika. mimi nafuatilia kwa karibu chaguzi ndani ya vyama hivi vya siasa kwa sababu ndipo mahali pa kujua haki na demokrasia inatendekaje kwa tunaotarajia kuwakabidhi madaraka makubwa ya kuongoza nchi! mambo huko ni ya ovyo hayafai kusimulia.kwenye bunge viongozi wamekwenda na wake zao,dada zao katika ubunge wa viti maalum nk huo ni ufisadi wa madaraka.tungetarajia kwa vyama ambavyo vimejipanga kutoa ushindani kwa ccm vionyeshe angalau ukomavu kwenye mfumo wao wa upatikanaji wa viongozi! kuongoza nchi na kukabidhiwa dola siyo kazi ya kucheza disco na kufanya matambiko!umaarufu wa hao jamaa haupo bila madaraka yawe ya chama au serikali. hata hao wapambe watawakwepa
Are you serious mzee?Mbona chadema imeshashinda uchaguzi 2015?
Bado tuu hujaona ndugu?..
Dalili njema huonekana asubuhi,
chama kimetulia na watu wanatafakari jinsi ya kuongoza nchi..
Hii ndo kazi pekee iliyobaki kwa wana-CHADEMA.
TUWASHAURI VIONGOZI WETU WAWE WATU WA WANYONGE NA SI MATAJIRI KAMA CCM.
Tunampongeza Mh Godbless Lema kwa kazi anayoifanya...
Ni kwa manufaa ya watanzania wote bila kujali itikadi,rangi,jinsia,kabila wala ukanda.
hahaaa JK bwana sasa yeye mwenyewe mbona kashindwa kuwataja hao...hikli jamaa bwana sio kabisa
Hata wakionyesha wapi JK alikuwa na mkono wake na alihusika vipi haitawasaidia kitu. Mwenzao amekwisha ukwaa u-Rais. Tayari amekwisha shika Dola na nyenzo zote. Wakileta nyokonyoko, atawashikisha adabu tena kwa njia nyepesi sana, hilo lazima walikumbuke sana. Aliekutangulia huwezi kumshika tena.JK amekuwa "too smart for them", walidhani wanajua kumbe mwenzao anajua zaidi.
ndio maana mimi nikasema wakiamua huyu hamalizi mda wake pale magogoni..........huwezi kuwapet pet wenzako mwaka jana octoba na leo unawageuka nawao wakakubali kufa huku wakiwa uchi wa mnyama........uanze kuwavua shati,......uje vest........suruali......pajama......na uje chini wakushike kichwani halafu uwavue viatu na utoe soksi........halafu wewe ubaki salama.......leo hii ukimpafa jk hapo na ukawa nae kona atakwambia kuwa yeye alimsikiliza kinana.......na alikuwa hajui kitu.....
Kwakweli JK mnafiki sana, ila mimi binafsi napenda unafiki wake kwani unasaidia kwa namna moja kuimaliza ccm na kuinua ufahamu wa watanzania, wengi sasa wanataka kuona mafisadi wakikamatwa lakini kwa jinsi jamaa alivyo wataishia kupoteza nyadhifa zao tu na hapo ujue wadanganyika kuna watakalojifunza
Kakwambia nani