Kikwete: Hayati Dkt. Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki na wababaishaji

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Habari wadau.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete akimuelezea aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania hayati Dkt. Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa Rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.(MIGA)

Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa Rais jembe lake alikuwa waziri Dkt. Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.

Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dkt. Magufuli isingewezekana.
 
Habari wadau.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha rais msitaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete akimwelezea aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Dk Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.

Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.
Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk Magufuli isingewezekana.
jiwe ameshakufa ,habari zake kwushineiii ,sasa sijui mnataka nini
 
Ahaa unaleta hotuba ya msibani Chato

Wewe vipi Bwana hukwenda kuzikwa Chato

Hii ni hotuba ya Kikwete Chato akiwa anamzika Magufuli

Wewe CCM jina tu, Hujui lolote lile

Wewe ni mbumbumbu
 
Ccm ipo njia panda

yaani anasapoti kubwa kutoka upinzani na asilimia ndogo ccm. kwa

maana hiyo 2025 wasipompitisha mama kuwa mgombea urais wapo asilimia ya wanaccm watakaoungana na upinzani ktk kura.

wakimpitisha mama 2025 lile kundi la jpm litajiunga na chama kingine Cha upinzani.

yaani ccm imeshagawanyika ktk makundi mawili makubwa. hii ni habari njema kwa cdm.

ni ngumu sana kuwaleta pamoja hasa ukizingatia jinsi ccm mpya inavyosambaratishwa na mama!

C&P
 
Habari wadau.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha rais msitaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete akimwelezea aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Dk Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.

Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.
Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk Magufuli isingewezekana.

Kwa hakika JK alijua kuiweka legacy ya mwendazake bayana.

Hivi kama haya ni kweli:

"... alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu."

Huyu katika awamu yake #5 alitengeneza barabara zipi?

Je huo wa katavi tayari umeshaunganishwa kwa lami na mikoa mingine?

Au hivyo vishindo vya awamu ya 5 vilikuwa ni hivyo hivyo vya awamu 1, 2, 3 na ya 4?
 
Mchana alijifanya kujenga Daraja, usiku alimtuma Sabaya akaue watu na kupora mali za watu, akae na Madaraja yake hata Iddi amini alijenga
Ni jambo jema kwamba sasa hivi unamshangilia rais Samia ni ccm daima
 
Habari wadau.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete akimuelezea aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania hayati Dk. Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa Rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.

Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa Rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.

Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk. Magufuli isingewezekana.
Huo ndio ukweli.
 
Shetani limeondoka kwanini nisifurahi,Samia atatupa Katiba Mpya trust me
😀 😀 Hivi kuna shetani mkubwa zaidi ya yule mwenyekiti wa saccos pale Ufipa?. Kawafanya nyote kuwa nyumbu, atafuta hela za chama na kula vitu maalum huyo ndo shujaa wenu. Shame on you
 
😀 😀 Hivi kuna shetani mkubwa zaidi ya yule mwenyekiti wa saccos pale Ufipa?. Kawafanya nyote kuwa nyumbu, atafuta hela za chama na kula vitu maalum huyo ndo shujaa wenu. Shame on you
Hivi wewe ndugu umekula Maharage ya wapi?
Baba yake Sabaya unasema sio shetani?
 
Back
Top Bottom