Watanzania wazalendo wanaopenda maendeleo, wanatamani JK aongezewe miaka mingine mitano ili aendelee kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Sijui wewe mleta mada uko nchi gani!
Hatujui siku, saa, dakika wala nukta ambayo mauti yatatufikia. Siyo vizuri kuwaza kuhusu kifo juu ya Rais wako, au yeyote yule kwa tofauti ya itikadi tu, ukizingatia hakuna uthibitisho wa tishio la kiafya!Link Meles Zenawi, Ethiopian Prime Minister, Dies At 57
Link BBC News - Ghana's President John Atta Mills dies
Link Africa?s food security and the G8 summit
In addition to the G8 heads of state, four African leaders were also present for talks on the project. President John Atta Mills of Ghana, Prime Minister Meles Zenawi of Ethiopia, President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania and President Yai Boni of Benin, who is also the current chairperson of the African Union, met with Obama to discuss this partnership.
Link BBC News - Hugo Chavez returns to Venezuela after surgery in Cuba
Link Venezuela's Chavez Preps for Surgery (Video)
Link Venezuela President Hugo Chávez To Continue Cancer Treatment Upon Return Home From Cuba
Hatujui siku, saa, dakika wala nukta ambayo mauti yatatufikia. Siyo vizuri kuwaza kuhusu kifo juu ya Rais wako, au yeyote yule kwa tofauti ya itikadi tu, ukizingatia hakuna uthibitisho wa tishio la kiafya!
Unataka kumaanisha kwamba viongozi wa africa walio attend hiyo summit wamekufa/watakufa?? Why??
Nimekuwa nikisema Kiranga huwa humaanishi unachokisema! Hukusema kwamba Lowassa atakuwa Rais mbovu zaidi ya JK kwa sababu ana hubris itakayotuingiza vitani na Malawi? Unaruka hata yaliyoandikwa?Wapi nimekwambia hivyo?
Kwanza kabisa umemtathmini Lowassa based on a hypothetical, kitu ambacho bado hajijatokea wala kuelekea kutokea. Lowassa anaguswa vipi na vita vya Tanzania na Malawi ambavyo hakuna mtu duniani aliyeongelea hilo kuhusiana na mbio za urais? Lowassa katamka nini kuhusu vita na Malawi?Unapimaje kwamba Lowassa hatatuingiza vitani kwa kukosa kiasi na hubris na atatuingiza kwa maslahi ya nchi?
Alishindwa kuongea na wakuu wa wilayua kivipi?Lowassa alishindwa kuongea na wakuu wa wilaya tu kama kiongozi anayethamini "collective responsibility" na mutual respect ethics of leadership, ataweza "foreign policy"?
Ndio tunayo. Msimamo wetu, kwa mfano, dhidi ya Malawi ndio foreign policy yetu kwenye suala hilo, foreign policy ni issue specific. Kwenye mahusiano na Misri Tanzania ime capitulate to regional pressure pamoja na peremembe za Egypt kama vile kutuletea huduma za Egypt Air. Lowassa haya aliyakataa lakini hakuwa na mamlaka ya kutosha kusimika hiyo foreign policy kulazimisha tutumie maji ya Ziwa Victoria kwa maslahi ya nchi.Tanzania tuna "foreign policy" zaidi ya boilerplate outdated directionless Nyerereism?
Obama hakumuua Osama wala hakujua yuko chimbo gani pasi kuambiwa, bali alitoa maamuzi. Lowassa ndio aliamua foreign policy mpya dhidi ya Misri japo alikuwa overruled.Lowassa kwanza hiyo kazi hata hajafanya yeye, yeye kachukua credit tu. Kazi kubwa kafanya Anthony Diallo. Talk about when opportunism meets ignorance.
Not the point.Even more reason to support my assertion that we are going downhill. The populace itself is not imaginative, how do you expect sharp candidates?
Kwa sababu, kwa vile ni hoja fringe and far-out, hai convince mtu, msamiati mpya kwenye medani za siasa wanasema haina mashiko. Hakuna anaehofia kwamba Lowassa atakuwa Rais mbaya kwa sababu atatuingiza kwenye vita na Malawi, hakuna anaeongelea hilo!Kwa nini mimi niende tu na yale yaliyopo kwenye gumzo la kitaifa?
Kwa sababu Lowassa hajawahi kutishia kwamba ataenda vitani na Malawi! Tishio gani la vita? Tutathmini wagombea kwa mapana zaidi ya "hubris" ya kutuingiza vitani na Malawi.Kwa nini tishio la vita Malawi lisiwe mfano tu unaoonyesha suala zima la Lowassa kukosa kiasi na kuongoza nchi kwa munkari, jazba na inda iliyojaa kiburi cha ujuaji asionao?
In short,JK is a failed president.Hivi kuna changamoto gani ambayo JK aliikuta, lakini atakapoondoka atakuwa ameishaitatua.
Matatizo ktk sekta za elimu, na afya, inaonekana yako palepale, huku wengine wakielekeza kwamba hali imekuwa mbaya zaidi.
Tatizo la ukosefu wa ajira limekuwa kubwa zaidi. Sasa linaitwa bomu.
Ufisadi umekuwa mkubwa zaidi. Hali ya usalama hairidhishi. Migogoro baina ya wananchi, wafugaji vs wakulima imeongezeka.
Kuna mabadiliko ktk VITU, lakini mabadiliko hayo hayajaboresha HALI za wananchi walio wengi.
Wewe furahishwaga kivyako, mimi ndio Jidu, jitu lenye ng'ombe wengi kanda ilee!!!!wanasema hata simba anazaa , kingine ni kwamba nimefurahishwa sana na jina lako ! Kitabu changu cha kumbukumbu kinalionyesha jina hilo kuwa ni kati ya waasisi wa usaliti kwenye vyama vya siasa .
Aliyewaza kifo ni mimi au wewe? Umejishitukizia?
Nimekuwa nikisema Kiranga huwa humaanishi unachokisema! Hukusema kwamba Lowassa atakuwa Rais mbovu zaidi ya JK kwa sababu ana hubris itakayotuingiza vitani na Malawi? Unaruka hata yaliyoandikwa?
Kwanza kabisa umemtathmini Lowassa based on a hypothetical, kitu ambacho bado hajijatokea wala kuelekea kutokea. Lowassa anaguswa vipi na vita vya Tanzania na Malawi ambavyo hakuna mtu duniani aliyeongelea hilo kuhusiana na mbio za urais? Lowassa katamka nini kuhusu vita na Malawi?
Kinachovutanisha nchi za Tanzania na Malawi ni maslahi ya nchi hizo, sio ya mtu binafsi, kuna maslahi gani binafsi hapa?
Alishindwa kuongea na wakuu wa wilayua kivipi?
Ndio tunayo. Msimamo wetu, kwa mfano, dhidi ya Malawi ndio foreign policy yetu kwenye suala hilo, foreign policy ni issue specific. Kwenye mahusiano na Misri Tanzania ime capitulate to regional pressure pamoja na peremembe za Egypt kama vile kutuletea huduma za Egypt Air. Lowassa haya aliyakataa lakini hakuwa na mamlaka ya kutosha kusimika hiyo foreign policy kulazimisha tutumie maji ya Ziwa Victoria kwa maslahi ya nchi.
Obama hakumuua Osama wala hakujua yuko chimbo gani pasi kuambiwa, bali alitoa maamuzi. Lowassa ndio aliamua foreign policy mpya dhidi ya Misri japo alikuwa overruled.
Not the point.
Point is, you can't judge Edward Lowassa as potentially poorer president than Kikwete based on one factor of "hubris."
Kwa sababu, kwa vile ni hoja fringe and far-out, hai convince mtu, msamiati mpya kwenye medani za siasa wanasema haina mashiko. Hakuna anaehofia kwamba Lowassa atakuwa Rais mbaya kwa sababu atatuingiza kwenye vita na Malawi, hakuna anaeongelea hilo!
Kwa sababu Lowassa hajawahi kutishia kwamba ataenda vitani na Malawi! Tishio gani la vita? Tutathmini wagombea kwa mapana zaidi ya "hubris" ya kutuingiza vitani na Malawi.
Unaongea mambo ambayo, I'm a really sorry to say, they are just not in the conversation.
Mkuu hata mimi naona bado kuna muda mrefu sana....ila tuvumilie tu soon atasepalakini hiyo miezi 10 mimi naiona kama miaka kumi bado duh....
Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.
I even wish CCM to go along with him.
Ahsante mungu kwa fadhila zako.
Mkuu wewe unatisha unajua nnachowaza!!!
Hivi hukumsikia wewe Mkulu akisema amepona saratani?
Link Rais Kikwete asema amepona Saratani - BBC Swahili
Wapo watakao tofautiana na mimi kimtizamo lkn wenye positive mind watakubaliana kuwa JK hakupaswa hata kuwa katibu taarifa,hana kipaji cha uongozi,mtaakubaliana na mimi kuwa serikali ya kikwete imekua ikikumbwa na dhoruba nyingi kuliko awamu nyungine zozote,mfano richmond,operation tokomeza,iptl na Escrow,mpaka sasa hakuna action zaid ya wahusika kujiuzulu,Jk rais wangu utakumbukwa kwa lipi kwenye uongozi wako? Awamu yako imeuza kila kitu gas,madini,uranium,bandari nk ni nini hatma ya kizazi kijacho? Vijana wengi waliohitimu vyuo watakwenda wapi kama uwekezaji unaofanyika hautoi fursa za ajira? Ni awamu hii tumeshuhudia utekaji,utesaji na hata kuuwawa kwa watz wenzetu walioamua kupaza sauti zao kwa kuonyesha udhaifu,ubadhirifu wa serikali yako,tumeshuhudia jinsi familia yako kupitia mkwe wako ndg albert marwa,ridhwani kikwete na wengine wanavyotumia taasisi ya rais kufanya ubadhirifu ilihali ofisi yako ikiwa kimya,uliwahi kusema nanukuu"urais wangu hauna ubia ba mtu" lkn mh rais ni nini tafsiri ya kauli hii kwa kipindi hiki nchi ikiwa njia panda? Bado huna mbia kwenye urais wako? Ni ukweli ulio wazi sasa kuwa urais una ubia na watu mfano familia yako,albert marwa,rostam aziz and coy,home shopping center,patel na wengine wengi,sina hakika kama ulikuwa na tafsir kamili ya neno ubia lkn bado naamini umeganda kwenye tope
ambalo kamwe huwezi kutoka kwa sababu urais wako una ubia na wabadhirifu na wezi wa mali za umma,sitaki kuamini kuwa singasinga ambaye kenya yuko black listed mmeleta kuja kufanya ubadhirifu kachukua pesa kaondoka,nchi yetu watu wake ni masikini sana pamoja na utajir mungu aliotujalia,mh rais nimalizie kwa kusema nimechangia ujenzi wa maabara ilihali tusikia huko dsm wanabeba pesa kwa viroba,je ipo wapi haki hapa?
Mungu ibariki Tanzania
Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kuleta maendeleo kwa watanzania.