Kikwete has only 10 months to go

Bora aondoke, ameifilisi sana hii nchi kwa matumizi mabaya ya fedha za walipakodi
 
Safari hii tukuchague wewe,utafaa sana.
Nitajipima kabla ya kutangaza nia na si kukurupuka kisa nataka kuuza sura na kuandika historia niliwahi kuwa raisi au niliwahi kugombea wakati uwezo sina na hata vision sina.
 
JK alishawahi kusema kwenye moja ya Kampeni zake Mbeya kuwa URAIS wake ni wake na familia yake.Hivyo haya tuyaonayo wengine hatushangai sana,maana alitamka mwenyewe.Waache,watoto,wakwe mke nk wajichukulie maamuzi kama rais .
 

What a joke .....................!!!
 
Kilichovuma zaidi 2005 - 2015; Kampeni dhidi ya 'SARATANI YA SHINGO YA UZAZI' vs 'SARATANI YA TEZI DUME'
 
Watanzania wazalendo wanaopenda maendeleo, wanatamani JK aongezewe miaka mingine mitano ili aendelee kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Sijui wewe mleta mada uko nchi gani!
yaani wewe unaweza kuta hata kodi ya nyumba hujalipa huna hata ujanja wa kujenga kibanda then unashangilia ujinga
 
Ukali wa nyuki dada, asali italiwa tu!

wanasema hata simba anazaa , kingine ni kwamba nimefurahishwa sana na jina lako ! Kitabu changu cha kumbukumbu kinalionyesha jina hilo kuwa ni kati ya waasisi wa usaliti kwenye vyama vya siasa .
 

Chuki na harufu ya udini !
 
JK alishawahi kusema kwenye moja ya Kampeni zake Mbeya kuwa URAIS wake ni wake na familia yake.Hivyo haya tuyaonayo wengine hatushangai sana,maana alitamka mwenyewe.Waache,watoto,wakwe mke nk wajichukulie maamuzi kama rais .
Hivi kumzushia uwongo kiasi hiki mheshimiwa Raisi wetu mpendwa, hujui kuwa ni dhambi kubwa?, au unafikiri Mungu hakuoni kwakuwa sisi wanadam wenzako hatukuoni hapo kwenye keyboaed yako? nakuhurumia unavyoteseka kwa chuki moyoni mwako, Pole sana!
 
Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.

I even wish CCM to go along with him.

Ahsante mungu kwa fadhila zako.
Kwachuki zako za kidini usije ukatusababishia yanayowapata wakenya now
 
jk ni laaana.....kadiri anavyoendelea kuwa madarakani ndivyo nchi inavyozidi kupata laana.....

Amalize muda wake laana huyu...

wagalatia bwana sijui roho za chuki kiasi hiki ndo mafunzo yenu!!! Huu udini huu hautatufikisha mbali naamini jk asingekuwa muislam asingeshambuliwa kiasi hiki, naamini siku moja tutakuja kushikishana adabu, hakuna mwenye hati miliki ya uongozi tanzania; this is our country and we all have right
 
Uko wapi mheshimiwa watanzania wazalendo tunalalamika huku? Kwa kweli imefikia sehem ya kuulaum uongoz wa ccm wote
 
Ntafurahi sana mungu atuondolee huyu mtu...loh...tumejuuuuuuta kumfahamu
WE WISH ANGEPATA MIAKA MINGINE KUMI
TUNAMHITAJI sana, amefanya kazi sana kuimarisha miundombinu kama mabarabara, madaraja, mahosipitali, mashule, mavyuo n.k. hakuna rais yeyote kabla yake aliyewahi kufanya aliyoyafanya Kikwete. Pili kuhusu kuuza rasilimali zetu, mkapa ni kinara (kama wewe ni wa ile dini ya escrow huwezi ona hili) kauza, NBC, Tanesco, na mashirika karibia yote ya umma tuyajuayo (kama hujui sema nikutajie), migodi mingi imeuzwa na mkapa na ndo muanzilishi wa sisi kupata 3% tu kwenye mapato hayo. lakini pia uongozi wake uligubikwa na kashifa nyingi ila hakukuwa na uhuru wa vyombo vya habari kama tuvionavyo kipindi hiki. kulikuwa na scandal kama za EPA, mwananchi gold, radar, ndege ya rais, meremeta, kujiuzia mgodi wa kiwira, kujianzishia benki iitwayo anaben, rushwa za kajengo BOT, alex and stewart na upuuzi mwingi ambao sina muda wa kuulist hapa.
 
Unaweza kushukuru JK anaondoka akaja rais mpya ambaye ni JK wa JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…