Kikwete has only 10 months to go

Ni miezi mingi sana inayotosha kuitumbukiza nchi shimoni na kuifukia kabisa humo kwa zege.Kwa akili za professor wenu huyu ni hatari sana.
 
naona chuki tu kwenye uzi wako.
kwanza sio kweli hakuna la kumkumbukia Kikwete, kuanzia kwenye miundombinu kama mabarabara, madaraja, mahosipitali, mashule, mavyuo n.k. hakuna rais yeyote kabla yake aliyewahi kufanya aliyoyafanya Kikwete. Pili kuhusu kuuza rasilimali zetu, mkapa ni kinara (kama wewe ni wa ile dini ya escrow huwezi ona hili) kauza, NBC, Tanesco, na mashirika karibia yote ya umma tuyajuayo (kama hujui sema nikutajie), migodi mingi imeuzwa na mkapa na ndo muanzilishi wa sisi kupata 3% tu kwenye mapato hayo. lakini pia uongozi wake uligubikwa na kashifa nyingi ila hakukuwa na uhuru wa vyombo vya habari kama tuvionavyo kipindi hiki. kulikuwa na scandal kama za EPA, mwananchi gold, radar, ndege ya rais, meremeta, kujiuzia mgodi wa kiwira, kujianzishia benki iitwayo anaben, rushwa za kajengo BOT, alex and stewart na upuuzi mwingi ambao sina muda wa kuulist hapa.
kama una akili sahihi utakubaliana na mimi tatizo la kikwete ni uwajibikaji umekuwa zero na suala la katiba ndo kaharibu kabisa. the rest kafanya vizuri kuliko mpangaji yeyote aliyewahi kukaa pale magogoni. mnyonge mnyongeni ila msimnyime haki yake.


 
Ni miezi mingi sana inayotosha kuitumbukiza nchi shimoni na kuifukia kabisa humo kwa zege.Kwa akili za professor wenu huyu ni hatari sana.
Watu kama jk siyo wengi sana kwenye haya mataifa yetu anafanya kazi kubwa yenye kutukuzwa sana.
 

Attachments

  • image.jpg
    34.8 KB · Views: 117
Ten months can be a long time in a country with a huge leadership vacuum.
Let us hope the next president learn something from the current president. I do not mind where he comes from - ccm or the opposition though I would prefer the later.
 

Husomeki, hebu jifunze kuandika vizuri.
 
Watanzania wazalendo wanaopenda maendeleo, wanatamani JK aongezewe miaka mingine mitano ili aendelee kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Sijui wewe mleta mada uko nchi gani!

Watu mafisadi kama wewe ndio wataomba Kikwete aendelee kuwa Rahisi, nadhani hata Kikwete mwenyewe anaomba muda wake uishe. Wapumbavu na mafisadi ndio watakaomkumbuka kwa kulindwa , na wazalendo wa nchi hii watatamani wamuone akienda jela yeye pamoja na mafisadi wenzake. Hasara aliloliingizia hili taifa ni kubwa mno
 
Andiko lako limejaa chuki,umbea ,uzandiki,uzushi na hisia za kutunga kichwani mwako pamoja na maneno ya vijiweni wewe ndiyo unatuletea hapa.

mbona andiko lake ni fupi tu , haya mengine umetoa wapi ?
 
Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.

I even wish CCM to go along with him.

Ahsante mungu kwa fadhila zako.

IKULU si MAHALI PA KUKIMBILIA - JK NYERERE .
 

Unataka kumaanisha kwamba viongozi wa africa walio attend hiyo summit wamekufa/watakufa?? Why??
 

Haya yote yangetokea bila hata kuwa na rais
 
katika hiyo mizi kumi, bado safari ngapi za nje?
 
Miezi 10 atumie kujirekebisha ili naye awe na ya kumkumbuka mazuri kwani kwa sasa atakumbukwa kwa kuzalisha na kulea mafisadi + ziara nchi za nje kuliko mikoani nchini mwake
 

mkuu ume funguka vizuri sana, najijutia sana kumchaguwa rais Jk
 
Ntafurahi sana mungu atuondolee huyu mtu...loh...tumejuuuuuuta kumfahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…