Kama ni mwislam safi lazima atubu vinginevyo wizi alioufanya utaendelea kumtafuna polepole hadi anaenda kaburini.
Raisi kikwete anaonekana kabisa kwamba hana raha na ushindiwake wa kulazimisha na kuiba. Kama mnamjua kikwete anaonekana mnyonge kwasababu rohoni anajua kashidwa na amewekwa na watu kwa manufaa yao na sio yake wala ya taifa. Kikwete anajua kwamba watu hawako upande wake tena kama ilivyokuwa mwanzo wa muhula bali kabakia na mafisadi wa nchi. Tanzania kwasasa iko wakati mgumu sana kwani wananchi wanataka mabadiliko lakini viongozi wengi bado hawajatambua hilo
Kama hujamsoma hadi leo JK alivyosononeka na ushindi wa mezani basi tena.....................macho unayo lakini itabidi tukuambie sasa tazama....................Haya ni maneno yako na fikra zako wala si za JK. Nilizani kampeni zimekwisha hapa JF.
Dhambi ya kumsaliti Yesu ilimtafuna yuda mpaka akajinyonga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ndvyo itakavyokuwa kwa kikwete-dhambi ya kuisaliti nchi kwa kudhulumu haki dhambi hiyo itatafuna dhamiri yake mpaka aanguke na kufa kama yuda!!!!!!! Saa hizi anatamba lakini ninyi subirini tu, wala tukio hili haliko mbali-anguka yake ya kila leo ni dalili hizo!!!!!!!!!!!! Anategemea nguvu ya ushirikina na uchawi!!!!!!!!!!!!. Histori inathibitisha kwamba watawala dhalimu mwisho wao ni fedheha kubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!