Raisi kikwete anaonekana kabisa kwamba hana raha na ushindiwake wa kulazimisha na kuiba. Kama mnamjua kikwete anaonekana mnyonge kwasababu rohoni anajua kashidwa na amewekwa na watu kwa manufaa yao na sio yake wala ya taifa. Kikwete anajua kwamba watu hawako upande wake tena kama ilivyokuwa mwanzo wa muhula bali kabakia na mafisadi wa nchi. Tanzania kwasasa iko wakati mgumu sana kwani wananchi wanataka mabadiliko lakini viongozi wengi bado hawajatambua hilo