Elections 2010 Kikwete hana raha na "ushindi" wake?

Siri ya furaha ya Kikwete iko kwa wananchi, ni hao haoa wananchi wanamnyima hiyo raha kwani rohoni anajua kuwa fika hakupita huu uchaguzi, nafisi yake inamsuta kila atakapo kutamka maneno ya Ushindi fake wake, Nafsi inamsuta kulazimisha kupendwa ili khali wananchi hawampendi kabisa, FREEDOM HAS COME, GIVE THE COUNTRY TO THE OWNERS Dear JK...
 
Mungu hafanyi mambo ya ajabu ni watu wankurupuka kusema alikua chaguo la Mungu wapi alisema wakati yeye anafurahia kuambiwa na shehe yahaya kwamba ataongozewea majini ya mlinde , Mungu yupi anfanya hayo mambo Mungu wetu yu hai na ni mtetezi na ni wa haki, tusimhusishe Mungu na fikra zetu,

Mzee Gomezi
 
Back
Top Bottom