Kikwete Hana Mchezo!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Big up JK
 
He is simply not my president due to evil deeds that brought him in power, so i can not comment anything about him
 
Kwani pale aliposema ataunda Baraza dogo na Makini akiwa Rais we unaonaje amefanya hivyo? je Baraza la Mawaziri limepungua? ni kweli ameweka mawaziri makini? Ili tamthilia inoge inabidi fanani iwe inabadilikabadilika, si unaona move za kihindi wanapocheat kuuana kwani inakuwa kweli? Ni msanii tu huyu tena wa kihindi basi
 
Iwe nu ukali wa maneno au la! whatever anachokifanya raisi JK kwa sasa hakina tija kwa taifa wala kwake binafsi. Simply put interface ya raisi na wizara kiutendaji ni ministers. Kwa JK kutembelea wizara kisha anaanza kuuliza maswali/kutoa maagizo kwa wakurugenzi inaondoa maana ya kuwepo kwa mawaziri na viongozi wengine wa juu wizarani.

Mtakumbuka kuwa alifanya ziara kama hii 2006 sina uhakika kama ziara hii inalenga kutathmini waliokubaliana then au huu ni utaratibu mwingine wa raisi kuwa/kuonekana yuko busy.

I would expect raisi akitia timu wizarani basi agenda zake kuu zitakuwa kua-address policy issues (kama zitakuwepo) na sio kushugulikia day to day activities za wizara. Imagine raisi anapewa taarifa kuwa bilioni 9 zimelipwa mishahara hewa - so? Maswali yote aliyokuwa anawauliza watendaji wa wizara yalitakiwa kuwa yameulizwa na makatibu wakuu/mawaziri husika a long time ago nakuwa yamefanyiwa kazi.
 
Huyu huwa anazuga tu, na inawezekana aliwapigi sim za kuwaomba samahani MIMI SIMWAMINI KABISA BABA RIZI!
 
Si kapona? Nimeweka topic juzi hapa wakaiziba. JK kapona, sasa nguvu anazihamishia kwenye ahadi za kwenye ilani
 
Jamani eeh. Majadiliano ya cabinet yanapitia Cabinet Secretariat. CS ndio secretary mwenyewe and also head of the Civl Service. Sasa kama Rais huwa anapata habari zilizo chakachuliwa.. Muacheni afanye ziara kama anaona zitasaidia. Atakama ni vitisho tuu hivi vitisho vitasaidia. CHADEMA na maandamano yamemtishia yeye na yeye anawatishia kina Ghasia. Nachowaambia nikuwa huyu jamaa kuna uwezekano akawapoteza kina Lowassa vibaya sana. Ndio hawatoenad jela, lakini kwa jinsi watu wanaomjua kiundani wanasema... he is fighting them kichinichini na japokuwa wananguvu sana kwa pesa zao. Jama anan'gata na kupuliza ila siku zake zitakapo isha Magogoni hamna anaejua atakacho fanya huyu mtu. Msimponde akinfaya jambo zuri.. Hii sinema bado sana inabid tuendee kuangalia... Stering Bado ata hajajulikana kama ni Watanzania, JK, Lowassa, SLaa, 6, Magufuli, Freeman (supporting actors: Pengo, Mufti Simba, Kina Mdee, Zitto, Malisa) (Extras kina Kubenea, Mwanakijiji, wahadhiri mbali mbali [im sure they wont appreciate being in the same group as kina Mwanakijiji but what I mean is really old and new media and academia]) Ndio kwanza dakika 2 za movie...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…