Nimeona kwa kifupi, TBC walikuwa wanaonesha kwa ufupi ziara ya JK kwa wizara mbalimbali, aisee huyu Mr angekuwa mkali namna hii siku zote nchi yetu ingekua mbali, waziri wa uchukuzi alikua anampiga longo longo za kitoto jamaa akamkatisha katikati ya speech halafu akatema madini ya kutosha, yaani hadi ananifanya nijiulize mara mbili mbili hivi anafanyaga makusudi tu kuwabeba watu wasio na tija au?
Kitu gani kimemsukuma sasa amewawakia, yaani sijui kama hili baraza litamaliza 5 yrs
sijawahi ona msanii ambaye hana mchezo
Kwani kaanza leo kuwakia watu kwenye TiiVii?? Aliwawakia akina Mramba na EPA halafu akaenda kumnadi rombo :ballchain:
Nimeona kwa kifupi, TBC walikuwa wanaonesha kwa ufupi ziara ya JK kwa wizara mbalimbali, aisee huyu Mr angekuwa mkali namna hii siku zote nchi yetu ingekua mbali, waziri wa uchukuzi alikua anampiga longo longo za kitoto jamaa akamkatisha katikati ya speech halafu akatema madini ya kutosha, yaani hadi ananifanya nijiulize mara mbili mbili hivi anafanyaga makusudi tu kuwabeba watu wasio na tija au?
Kitu gani kimemsukuma sasa amewawakia, yaani sijui kama hili baraza litamaliza 5 yrs
uvccm maslahi @ work. Watu wamebanwa na ukali wa maisha wewe unatuambia habari ya mtu anaefanya kazi za hollywood kuuza sura kila siku kwenye runinga! Hayo maigizo ni fani za akina van damme.
Anajifanya mkali kwenye vitu vidogo vidogo mbona vikubwa anachekelea tu?
Huyu changa la macho tu, Hana lolote. anatafuta mbuzi mwingine wa kafara ili aonekane msafi. kama alivyofanya kwa Dani yona na Mramba! ila mi namuona ni kama mtu anayenuka jasho afu anajipulizia pafyum, wakati dawa yake ni kuoga tu!!